watu wataesabiwa X10, majumbani, kwenye train, mabasi, pikipiki, bicycle etc, ilimradi form zijae tu, mgomo uwe umefail
Jk mnafiki kwann asimkamate gaidi sheikh ponda
Ni punde Raisi wetu katoka kuelezea umuhimu wa sensa na kuwaomba na kuhimiza watu wahesabiwe. Ila kuna jambo moja kwa upande wangu sijamuelewa vizuri. kaulizwa swali na waandishi wa habari Je, watafanya nini kwa wanaosambaza sms kushawishi watu wasihesabiwe, jibu alilotoa ni rahisi kweli kwa hadhi yake, kasema "nasi tunatuma sms kuwashawishi wakubali kuhesabiwa, tutapambana nao hukohuko kwenye mitandao, tena zinatumwa kwa jina langu (raisi)" kiukweli pamoja na maelezo kuwa hao waliopo msikitini si watatoka tuu kama wamejifungia na wakitoka watahesabiwa. Binafsi naona kama kunamchezo wa kuigiza, kama kweli sheria ya uchaguzi inaelekeza nini cha kufanya kwa waliokiuka hili zoezi si muda wa kubembelezana. Kubembelezana sana huku kwa mambo ya msingi yanapoteza muda na kuchelewesha maamuzi ya msingi! NAPENDEKEZA HATUA KALI ZICHUKULIWE KWA WOTE WALIPOKIUKA WAZIWAZI.
MIMI NIMESHAHESABIWA, NAKUSHAURI NAWE UWE TAYARI KUHESABIWA!
..... kumbe..... wanaokataa kuhesabiwa wanaona weakness hii..... Chuwa was explaining about legal measures that could be instituted against individuals proved to have, in any way, sabotaged the exercise. Some Muslim activists told reporters about their plans to boycott that activity today. He said that the Statistics Act, 2002 does not clearly stipulate legal measures that can be taken against persons sabotaging that exercise.
Replying to a question on what action will be taken by NBS to individuals insisting on provision of numbers of Muslims and Christians, Dr Chuwa said the current act dated 2002 has no provisions for prosecuting anyone in that regard.
"The Statistics Act of 2002 page No 351 says nothing as to one who provides such statistics. Due to that weakness we seek that the Act be reformulated and sent to Parliament for amending, so as to get legal power to take action when such a situation occurs," he said.
Mpaka sasa bado waislam wengi wapo misikitini wanafanya ibada sijui makarani watawafauata?
Maana walilala msikitini na hawakufutwa usiku.
Unakumbuka Igunga ni viongozi gani wa dini walisimama na kusema waislam waichague ccm na siyo chadema? Sasa kitendo hicho ndiyo kilitokea sana kwenye misikiti 2010.
Kuhusu kuchaguliwa na wakristu au waislam: Viongozi wote hao wamechaguliwa na wakristu/waislam/wapagani lakini tofauti ya wakristu/wapagani ambao walichagua kwa utashi wao, waislam walihimizwa kuchagua viongozi wa ccm.
Ndiyo maana hata Igunga tuliona live vituko vya wale mashehe.
Subiri 2015 kwenye mikutano ya kampeni ukomae na swali hili...usipopata jibu pigia kura chama kingine. Lakini nina wasiwasi itakapofika 2015 kama kawaida watu wataanza tena kutumiwa na kudanganyana kwenye nyumba zao za ibada na mwisho wa siku mtaipigia tena kura CCM kukikomoa chama kingine kama mlivyofanya 2010. Tukifika 2022 mtaanza tena kulalamika hivyo hivyo hatuoni maendeleo ya miaka 10 iliyopita lakini tukifika 2025 kwenye uchaguzi mtadanganyana zaidi na zaidi kwenye nyumba zenu za ibada na mpaipigia kura tena CCM kukikomoa chama kingine...Mzunguko unaendelea na jinsi siku zinavyokwenda ni hawahawa wanaolalamikia mfumo kristu ndiyo wanaotumika kuirudisha serikali ileile wanayoilalamikia madarakani...
Dakika tisini kwisha! Niece and the gang have invaded my space again, flipping through dvds, selects bunny dvd for viewing. Niece politely remainds me bbc news no good for your health watch more cartoons. Guess wengi wape. Nasubiri makarani wa sensa.
Tanzania mbona tunachekesha ulimwengu?? Kwa nn wasihesabiwe hao waliopo waliogoma tukatafuta mathematical formula ya kuwaingiza kuliko ku cheat? au kwa nn zoezi lisingeachwa kwanza hadi pawepo na muafaka kuliko kuchezea pesa za walipa kodi halafu mnatuletea takwimu za kupika??
Unakumbuka Igunga ni viongozi gani wa dini walisimama na kusema waislam waichague ccm na siyo chadema? Sasa kitendo hicho ndiyo kilitokea sana kwenye misikiti 2010.
Kuhusu kuchaguliwa na wakristu au waislam: Viongozi wote hao wamechaguliwa na wakristu/waislam/wapagani lakini tofauti ya wakristu/wapagani ambao walichagua kwa utashi wao, waislam walihimizwa kuchagua viongozi wa ccm.
Ndiyo maana hata Igunga tuliona live vituko vya wale mashehe.
Kikwete kasema kwani watapika na chakula humo humo misikitini
Umehesabiwa we mfugo.....
Wadau mi niko border Tunduma hapa navuka, kurudi huko mpaka baada ya wiki mbili itakuwaje?
Amir wetu shekh ponda ni mtu makini hawezi kukubali huu upuuzi bila madai ya waislam hayatimizwa ....