Karani aliyekuja kutuhesabu hakuwa na sare ila nimoeona amevaa kitaumbulisho iliyo andikwa lugha mbili Kichina na kiengereza inaelekea aliyepewa tender ya ku supply vitambulisho hivyo amevileta kutoka China!!
Nimepishan na karani na mwenyekiti wa mtaa getini mie nimetoka ndani hakuna mtu hata moja naona mwenyekiti wa mtaa anang'aa sharubu tu ananiangalia napanda gari naondoka zangu.
Kilichonishangaza mimi leo kwenye zoezi hili kabla ya kufika kwangu walikua kwa jirani yangu mwenye duka hapa karibu na kwangu leo asubuhi nikiwa natoa Lock, walikua na maswali zaidi ya 60 katika maswali hayo nilisikia wakimuuliza jirani yangu eti una Pasi ya Mkaa au ya Umeme? swali la kwanza! swali la pili je una choo cha kuFlash au ni cha kuchimba? swali la tatu una kuku, Ngombe, Kondoo, Mbuzi? Una Feni? je mumeo amesoma mpaka darasa la ngapi??? anafanya kazi gani?? Aisee wacha niendeleee na kutoa Lock nawasubiri waje kwangu waniulize hayo maswali! Duh! Sensa hii mbona kiboko??!
Hivi mbona sijasikia chochote kwetu wengine tulio nje ya nchi inakuwa vipi,JF ndo chanzo changu cha habari na hapo mko kimya kuhusu utaratibu, mbona hivyo?
Nimepishan na karani na mwenyekiti wa mtaa getini mie nimetoka ndani hakuna mtu hata moja naona mwenyekiti wa mtaa anang'aa sharubu tu ananiangalia napanda gari naondoka zangu.
Ama kweli Rais JK ni kiwango,kawaambia kama waislamu wanaona takwimu cyo sahihi watoe zao ili ngoma iwe droo, awashangaa waislamu kuishutumu serikali yake wakati wao wenyewe wanawajua waliotoa takwimu. Jipange
Nimepishan na karani na mwenyekiti wa mtaa getini mie nimetoka ndani hakuna mtu hata moja naona mwenyekiti wa mtaa anang'aa sharubu tu ananiangalia napanda gari naondoka zangu.
hata wakija siku ya 7 watauliza watu waliolala usiku wa kuamkia leo. Nadhani ndio maana walisimamisha treni na kuhesabu waliopo ndani ya safari kwa usiku huo.sasa mbona kwenye tren wamewahesabu ina maana safar itakua ya siku 7????