kwan unajua maana ya neno kafiri maana ya kafiri sio mkristo unaelewa we kichwa maji tafuta mana ya kafir ndo utajua vp shekh anaelewa zaid yako kichwa maji au niaje? Umekuwa ww
Nimehesabiwa na haijachukua hata nusu saa, karani yupo makini !
Buguruni tumepigwa mkono na Trafik ; KARANI ANATUHESABU;:A S-baby:
Umehesabiwa we mfugo.....
Mpaka sasa bado waislam wengi wapo misikitini wanafanya ibada sijui makarani watawafauata?[/b]
Maana walilala msikitini na hawakufutwa usiku.
Hii serikali yetu mbona inashindwa hata na vitu vidogo kama hivi yaani habari ya sensa inapigiwa debe miaka kumi iliyopita leo siku imefika unasema makarani wanalalamika kuhusu posho? hiyo pesa iliyotengwa kwenye bajeti inafanya nn kwa nn watu wasilipwe haki zao wachape kazi??na kwa nn tatizo hilo halikuwa solved hadi leo siku ya sensa??Hii serikali kweli anavosema Dr. Slaa imechoka ni ya kupumzisha hajakosea yupo sahihi kabisa!kila mtu anajua sensa ni kila baada ya miaka kumi yaani maandalizi ya miaka kumi ndio haya kweli? waislamu wanagomea? makarani wanadai posho? Iam tired of this type of stereo type government!!
Mi hadi sasa karan bado hajafika nyumbani, sijui nimesahaurika?