Semi Final 2, CECAFA: Zanzibar Heroes yaifunga Uganda goli 2 - 1! Sasa kukutana na Kenya katika mchezo wa fainali

Wewe ndio fala sana kaka mkubwa hajui kuucheza tangu enzi hizo ila mdogo alidharauliwa hakupewa nafasi. Mdogo miaka yate ndie Brazil wa Africa Mashariki anatandaza safi sana. Hallafu unabana pua kama umepakatwa
Kuna kitu gani nimekisema hakiko sawa ktk hiyo comment yangu mpaka umetoka povu zito kiasi hiki ukeni mwako??
Nakutumia pampass!!
 
Zanzibar bana, wanatuzidi kwenye uchaguzi na sasa wanaanza kutuzidi kwenye mpira!! Huku timu zetu zinaharibiwa na kina Jery muroho na kule Manara yaani balaa tupu huku mpira huku wasemaji wa vyama wasio rasmi
 
Watapigwa hamna namna


24177208_1480750971973860_8435008661492364171_n.jpg
 
Wacha ujinga wako wewe, Zanzibar ni nchi na kule Kenya wamekwenda na bendera yao na wimbo wao wa Taifa.


Hivi Unaweza Ukatuekea Hiyo Bender's Ya Zanzibar Hapa Tukaiona?
Umeona wapi Bendera Ndani ya Bendera?
Zanzibar si Nchi Bhana! Nchi Ni Tanzania.
 
Hongera zao, bila kelele wala visingizio...
Ammy Ninje kabikia tu kusema hakosi kazi, sijuwi Cert. ya UEFA, sijuwi Diamond, sijuwi wachezaji wetu wagumu kuelewa na visingizio lukuki...Bure kabisa...
Hamna kitu pale, awekwe mtu aliye na uzoefu, anayejuwa kuusoma mchezo na timu icheze kama imefundishwa, siyo upuuzi huu wa sasa...
 
lengo ni kuuonesha ulimwengu kwamba hata world cup tunaweza,ni vyenye hatujapewa fursa tu.

Mshakaji vipi emelewa au, World cup na Bonanza cup wapi na wapi.
Na kama mnasubiri kupewa nafasi poleni. Haki inapiganiwa haisubiriwi kupewa.
 
What about wales,scotland,northern ireland,hong kong etc

Mkuu zanzibar haina sifa ya kuwa mwanachama Fifa si ushabiki bali ni uhalisia.
Ndani ya fifa kuna mwanachama Tanzania ambayo Zaznibar inafahamika imo ndani ya Tanzania. Kwaiyo hapawezi kuwa na nafasi mbili kwa mwanachama mmoja.
Wales, Scotland, N.Irland wote ni wanachama kwasababu England hakujisajili fifa kama United Kindom. Wamejisajili kama ni England tu kwaiyo ndomana kila mtu akawa na nafasi yake ya kujiunga.

Kwaiyo ili zanzibar awe mwanachama Lakwanza Tanzania inatakiwa itoke ijisajili kama Tanganyika. Alafu ndo kuwe na Zanzibar na Tanganyika. hapo ndipo anaweza kutambulika.
 
Back
Top Bottom