sema unatakaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sema unatakaje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by chriss brown, Nov 13, 2011.

 1. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unataka demu,sema unataka aweje aweje,na akiwa mtaani,sema unatakaje atokeje tokeje,marashi itakiwaje akinukiajeeee...nampenda demu bomba awe mtanzania...nimeumic wimbo huu..
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  maridadi,mvuto wa zamaradi,tupitapo maskani washkaji mpandwe midadi.... Nalog off
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  We ungetuuliza sisi wanawake tunataka mwanaume aweje ili upate kuelimika. sasa unauliza vya wanawake vinakusaidia nini?
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mwali mzima wewe?? Naona ushakua mwenyeji toka tukukaribishe dear... and you are beautiful on your Avatar, umejipamba but hujajichakachua and at minimal..... Splendid....
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tatizo umri ukikua utafahamu yote haya na hayatakusumbua tena.
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Aaaah, sasa hivi mwenyeji kiasi. Kuna thread ya Nyani Ngabu anauliza utatoka na nani, mwenzio nimepata 'mchumba' na ndio ananifundisha vitu vingi kama ku-quote, multi-quote, na kadhalika.
  Si unakumbuka nilisema mi ni mpole? ananipa moyo wa kuchangia kwenye maada na kujichanganya. kweli huyu 'mchumba' wangu amenisaidia sana katika hatua za kwanza.
  Vipi wewe?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hebu kumbusha na mistari mingine... Aminata wa keita, Jay dee, Ray C et al walitolewa mifano gani vilee?? Na kama nature alivo fanya nini kwa Sonia?? lol

  Chriss Brown.... Love your new Album, but Love you ex's Rihanna more.... Habari yako Mkuu.
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Aisee Mwali nimekukubali dearest.... Mchumba tayari (hopefully ni potential) niambie ni nani kwanza nijue kama uliingia mkenge... Mie ile thread nimeona hata uvivu kufungua, na bcoz umesema uliingia you have to tell me kama kuna member anaitwa Kaizer kaingia pale ili niende Asap..... Haya dear taja huyo shemeji....
   
 9. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Bado ni potential, nilikua nasubiri niulize ulize kwanza nisije nikaingia anga za wenyeji. Mimi nimechaguliwa na ndugu Aspirin na niliona Kaizer kachagua watu kama 3 hivi... vipi, Aspirin ni sawa au?
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  OMG!!! Mwali ODM (I never call him by Asprin) is perfectoooo!!! lol.... And he is my Darling Shem.... a wonderful Man with a lot of Madhaifu, BUT if he has fallen for you then heaven will be here on earth... Nakushauri... Jiandae Challenges, (anapenda na ku-appreciate saana the opposite sex if you know what i mean....lol) Enways he is so imperfect but Man enough who for a True woman wa Kiafrika... A perfect Man!!

  Huyo bana ni wakaribu saana na Kipenzi changu Kaizer... Nakutambulisha rasmi Kaizer aka Sweetie ndo ananichanganya akili at the moment...and i think it will be forever pia (as you have told me kataja watatu - hivo pata picha ndo typical ODM type....) hapa tayari I am MAD.... Kawataja akina nani hao??
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,130
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  Mwali are serious?
  kama sijakosea wewe utakuwa kwenye namba 10 au zaidi,
  jipange upya mwali wangu.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Weye ntoto kwani hukufundwa? Maswali kama hayo ya ashadii unajibu 'sikumbuki vizuri'! Hebu rudi ndani na zile shanga ulizopewa urudishe kwanza tuanze upya! Unataka kutuletea balaa! Weeeh mwali!

  Wifi nakusalimia tu,nakuja huko for bfast,nimejikaribisha
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kazi ipo...
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Wifi King Missed you BIG time.... Naona sasa nitaumwa....lol.... Breakfast najua umekuja home ukakuta sipo... Sorry...
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Missed u BIG time too wifi darling! Halijaharibika neno,nilikuta sweetie wako ndo anatoka nikamuachia ujumbe. Nimecheza na wapwa zangu nikajihudumia nakuondoka. Maisha ya kiswahili raha kweli.

   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Najivunia sana wewe kuwa mke mwenzangu hujui tu. Nimecheka sana hapo pa mwali arudishe shanga..kha ni kwamba walikosea kumpa au? Isijekuwa kajivalisha mwenyewe huyu...lol.
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,081
  Likes Received: 24,078
  Trophy Points: 280
  Shem...............Khaa!

  Haya maujiko mpaka mbichwa unataka kupasuka!!

  Nadhani Mwali atakuwa amekuelewa!
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,081
  Likes Received: 24,078
  Trophy Points: 280
  Bado una mashaka?
   
 19. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  You have broken my heart, just there and then!
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jamani si nimesema nataka kuuliza kwanza kabla ya kuamua? ila kusema ukweli he is nice... :A S embarassed:...
   
Loading...