Sema ulichokiona kwenye picha hii.

Sema ulichokiona kwenye picha hii.

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,921
Reaction score
3,249
Kaa mbali nayo then shake your head. (left - right), ukiielewa piga "like". 🙂

156492_350294241733126_87981423_n.jpg
 
shake your head to see the picture ndicho ninachoona
 
Poleee

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
farkhina, maisha ni kusaidiana, what do u see na mimi nijaribu kukaza macho nnaeza kukiona!
btw, watu hapa ofisini washaanza kuniona chizi natingisha kichwa afu machozi yananitoka...si ujuha!??
 
Last edited by a moderator:
Ila unajitahi kuumiza macho yetu eh, Mimi naona mdoli wa Sungura kama sio paka
 
Namwone swine a.k.a Pig/ Nguruwe/Mkuu wa Meza/Mbuzi Katolika!!!
 
farkhina, maisha ni kusaidiana, what do u see na mimi nijaribu kukaza macho nnaeza kukiona!
btw, watu hapa ofisini washaanza kuniona chizi natingisha kichwa afu machozi yananitoka...si ujuha!??

hahahahahah wambie mazoezi.. mi nimeona kitoto cha shwain
 
Back
Top Bottom