Sema ulichokiona kwenye picha hii.

Sema ulichokiona kwenye picha hii.

farkhina, maisha ni kusaidiana, what do u see na mimi nijaribu kukaza macho nnaeza kukiona!
btw, watu hapa ofisini washaanza kuniona chizi natingisha kichwa afu machozi yananitoka...si ujuha!??
Nanusa harufu ya wabakaji wa muda wa mwajiri, ngoja nikachungulie wa kwangu wasije wakawa wanachat kama wewe.
 
Nanusa harufu ya wabakaji wa muda wa mwajiri, ngoja nikachungulie wa kwangu wasije wakawa wanachat kama wewe.

Nanusa harufu ya mabosi ambao kutwa kuchunguza wafanyakazi wake wanafanya nini badala ya kuhangaika kufikiri njia mbadala za kuongeza tija kwenye biashara yake!
 
Namuona
Mwakyembe akipiga debe watu wapange mstari kwenye vituo vya train!!!
 
Ukikaza macho au ukiwa umbali wa mita kama tatu kutoka kwenye monitor utaiona hiyo picha hata bila kutikisa bichwa!
 
Back
Top Bottom