Sema ulichokiona kwenye picha hii.

Sema ulichokiona kwenye picha hii.

mbwa wa polisi german shepherd.


th
 
Ila unajitahi kuumiza macho yetu eh, Mimi naona mdoli wa Sungura kama sio paka
Ni kama zoezi fulani unaweza kujipima kama macho yako na ubongo vinashirikiana vizuri. 🙂
 
Utaona Katuni kama hii...kama macho yako yana nguvu. :glasses-nerdy:

Pokemon.gif
 
misikio ndo inaonekana kiurahisi then pua na domo sijui ni bichwa la mdori wa sungura
au wewe mwenyewe kamanda
 
misikio ndo inaonekana kiurahisi then pua na domo sijui ni bichwa la mdori wa sungura
au wewe mwenyewe kamanda
Hahahaa, sio mimi mkuu, Yeah ni masikio na uso ndio inaonekana kirahisi, au kaa mbali na picha then tingisha kichwa utaona clear.
 
Back
Top Bottom