Sema neno

Sema neno

Hapo kwenye kutoendana nae imekaaje hapo sijaelewa! Si tangu mwanzo na kadiri siku zinavoenda kunamuona jamani?? Naomba ufafanuzi hapo
Mapenzi at times sio..Unakuta ulimpenda mtu ila siku zinavyozidi kwenda unamkinai na kumuona hafai. Na hii inatokea watu wakiwa washakulana tunda
 
Maisha ya ndoa ni maisha ya kawaida kama maisha mengine, katika maisha yako ya kila siku kuna siku za furaha, siku za huzuni, siku za kucheka za kulia n.k
Sio kila anachotaka nawe utataka sio kila unachotaka wewe nae atataka hivo kutofautiana ni jambo la kawaida.
Kubali mapungufu, mvumilie uwezavyo na umuheshimu sana........
Kwangu mimi maisha ya ndoa ni tofauti na maisha ya kawaida. Sina uhuru tena niliokuwa nao kabla. Nimepoteza haki ya kufanya maamuzi peke yangu. Nimepoteza uhuru wa kubaki ofisini mpaka saa nne usiku. Kupigiwa au kupiga simu saa nne, tano usiku nakatazwa. Sili tena kwa mama ntilie. Hapa nipo jf na mwenzangu kanilalia.
Ila nafurahi sana. Mwili umerudi. Napata mda mwingi wa kufikiria maendeleo badala ya kufikiria nakula nini.
 
pole kwa kupoteza uhuru
 
Mahusiano na ndoa za sasa ukitaka upate furaha unayo isema hapo, basi tafuta pesa kwanza nakuhakikishia utaitwa mfalme wa mapenzi kama huna basi isahau kabisa furaha ya ndoa.
Sio kweli, if thats the case basi wenye pesa wangekuwa na ndoa zenye furaha sanaaaaaa!! Pesa sio furaha bali ni chachu ya furaha.
 
Nimoja kati ya vitu mtu mtu hapendi kabisaa yani kuwa bize na mitandao ya kijamii sijui wenzangu kwa hili limekaaje
Unakuwaje busy na mitandao ya kijamii ilihali uko na mwenzio?? Hilo ni doa tayari.
 
Back
Top Bottom