Sema neno

Sema neno

Umenikumbusha mbali sana sister juu ya definition ya pastor Roman wa zimbambwe tukiwa ester conference miaka hiyo..nikashangaa sana aliposema marriage is a union of two uncomplete people..nilitafakari sana ila siku nilipoingia ktk ndoa ilinisaidia kumvumilia mwenzangu ups and downs zipo popote pale pia ndoa ina raha zake nyingi tu sema ni hulka ya binadamu kuhesabu mabaya kuliko mazuri.....Ujue ndoa ni tamu sana kama ukichukulia kila ulipatalo kama challenge kwenye maisha yako na ukasonga mbele bila kuanza kuwashikirisha wa pembeni ambao always wanasubiri kusikia habari mbaya Wakati wa raha hutawasikia wala hakuna atakayeongea ila upatapo shida jua pia kuwa hiyo ni sehem ya ndoa na pambana na jaribu hilo mpaka mwisho bila kuangalia ndoa ya mwingine au bila kulinganisha ndoa yako na mwingine Ndoa ni ya kwako na always matatizo na mikwaruzano ni part ya hiyo ndoa Jifunze kuwa upatapo raha ndani ya ndoa ni hivyo hivyo pia wakati wa matatizo yanavyokuja na ujue kupambana nayo

Mi nakumbuka ilikua kwenye FUNDAMENTAL ETHICS aisee nilijifunza mengi sana. Kama every one by nature desires to be happy and that happiness is accompanied by actions we do so hata mwizi huiba ili awe na furaha kwa Kile akipatacho mlevi vivo hivo mzinzi nawengineo. Sasa inakuaje hapo katika kufanya kitu kizuri/ sahihi na kuwa na furaha wakati tunatakiwa kufanya vitu vinavyotupa furaha as everyone by nature desires to be happy??
 
Nafurahia maisha ninayoishi sasa kwa sababu sina mahusiano serious so nipo free thou sometimes kuna upweke

Hongera sana. Vipi wewe binafsi unaosemaje kuhusu maisha ya ndoa kutokana na kusikia labda Au pengine kushuhudia toka kwa ndugu jamaa marafiki nakwingineko?!
 
Maisha ya ndoa ni mazuri sana ukiwa na mtu mnayependana na kuckilizana ka sivyo usiingie
 
Umenikumbusha mbali sana sister juu ya definition ya pastor Roman wa zimbambwe tukiwa ester conference miaka hiyo..nikashangaa sana aliposema marriage is a union of two uncomplete people..nilitafakari sana ila siku nilipoingia ktk ndoa ilinisaidia kumvumilia mwenzangu ups and downs zipo popote pale pia ndoa ina raha zake nyingi tu sema ni hulka ya binadamu kuhesabu mabaya kuliko mazuri.....Ujue ndoa ni tamu sana kama ukichukulia kila ulipatalo kama challenge kwenye maisha yako na ukasonga mbele bila kuanza kuwashikirisha wa pembeni ambao always wanasubiri kusikia habari mbaya Wakati wa raha hutawasikia wala hakuna atakayeongea ila upatapo shida jua pia kuwa hiyo ni sehem ya ndoa na pambana na jaribu hilo mpaka mwisho bila kuangalia ndoa ya mwingine au bila kulinganisha ndoa yako na mwingine Ndoa ni ya kwako na always matatizo na mikwaruzano ni part ya hiyo ndoa Jifunze kuwa upatapo raha ndani ya ndoa ni hivyo hivyo pia wakati wa matatizo yanavyokuja na ujue kupambana nayo
likes nyingi kwako
 
Watu tumecomplicate sana haya maisha ya ndoa hadi yaonekane ni jehanamu ndogo.
Wengine hadi anaingia huku kajiandaa kuwa anaingia katika kitu cha ajabu kuwahi kutokea.
Wengine wameogopa hadi kukata tamaa kabisaaa.

Ni maisha kama yalivyo maisha mengine tu, just like unavyoishi na mama/baba na ndugu wengine. Haiwezi kuwa the same always,kuna kuchukuliana na kuvumiliana, no one is perfect.

Kuna wakati mtafurahi,kuna wakati wa huzuni pia. Tatizo hatujui nini maana ya ndoa na tumekuwa wanafiki sana dio maana watu tunaona ni kama kitu cha hatari mnoo, ndoa is a sacred thing, muombe Mungu akupe wa kufanana nawe tu.
 
Kuna mada fulani hivi siikumbuki vizuri ilikua inahusu kuwa singo. Kwenye hio mada kuna komenti yako ulisema " mtihani wa kuwa singo ulifeli " hio comment yako hata mi naikumbuka
ha ha ha mna kumbukumbu lol
ndio mi siwezi kua singo nikibreak up saa mbili sa nne naingia kwenye relation na hayo masaa mawili ntakua mpweke sana ha ha ha
 
Mahusiano ni raha ukimpata umpendae na machungu ukimpata mtu msieendana

Hapo kwenye kutoendana nae imekaaje hapo sijaelewa! Si tangu mwanzo na kadiri siku zinavoenda kunamuona jamani?? Naomba ufafanuzi hapo
 
Watu tumecomplicate sana haya maisha ya ndoa hadi yaonekane ni jehanamu ndogo.
Wengine hadi anaingia huku kajiandaa kuwa anaingia katika kitu cha ajabu kuwahi kutokea.
Wengine wameogopa hadi kukata tamaa kabisaaa.

Ni maisha kama yalivyo maisha mengine tu, just like unavyoishi na mama/baba na ndugu wengine. Haiwezi kuwa the same always,kuna kuchukuliana na kuvumiliana, no one is perfect.

Kuna wakati mtafurahi,kuna wakati wa huzuni pia. Tatizo hatujui nini maana ya ndoa na tumekuwa wanafiki sana dio maana watu tunaona ni kama kitu cha hatari mnoo, ndoa is a sacred thing, muombe Mungu akupe wa kufanana nawe tu.

Aminaaaaa ubarikiwe espy vipi kule bado katutosa??
 
Nikama siamini vile make wanaume wenyewe mnalalamika kuhusu wanawake wenye pesa eti Wana kiburi jeuri na uzushi uzushi mwingine mwingiii sasa hapa unafurahije?
Unategemeana na kichwa cha mwanamke kuna wanawake wanahela xao na wanaadabu Kwa waume zao na washauri wazuri tu
 
Back
Top Bottom