Mahusiano na ndoa za sasa ukitaka upate furaha unayo isema hapo, basi tafuta pesa kwanza nakuhakikishia utaitwa mfalme wa mapenzi kama huna basi isahau kabisa furaha ya ndoa.
Huo ndio ukweli kwasasa wenye pesa ndio wanaofurahia mapenzi.Aiseeee! Kwa kauli yako hii Inamaana hata wanawake sikuhiz wanaooleawa ni wenye pesa tu!?? Kwahiyo sisi hohehahe tutasubiri sana??
Ndio, huamini hilo?Hata wanawake?!
inakera mnooo ukiwa na.mtu hata kama ni rafiki tu weka simu kando kama haiwezekani.bora kuaga ukakae mweyewe uchat inakeraBinafsi nikiona mtu yuko bize ile ya hovyo hovyo tu isio ya kazi Au shughuli fulani maalumu huwa sipendi na nahisigi tu kuna mdudu kaingia
sijakuelewaMimi nataka kwanza wewe ufaulu mtihani wa ubachelor!![]()
ndio ni kutokumjali alie karibuInaleta picha ya kutokujali fulani kitu ambacho si kizuri hasa katika mahusiano
pesa sio kila.kitu ila.ikiwepo inaongeza furahaMahusiano na ndoa za sasa ukitaka upate furaha unayo isema hapo, basi tafuta pesa kwanza nakuhakikishia utaitwa mfalme wa mapenzi kama huna basi isahau kabisa furaha ya ndoa.