Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,331
- 35,975
Uishi miaka mingi Baba yangu..
Nakumbuka nyakati nyingi sana sana..
Kikubwa ninachomiss sasa ni zile nyakati nilikuwa nakuosha miguu..
Niliwahi kuandika mahali humu siku moja..
Nakupenda Baba yangu Kipenzi.. Mungu azidi kukuweka kwa ajili yangu.. Kheri ya siku hii kwako..
Sent using Jamii Forums mobile app