Ngararimu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 288
- 500
Siyo ukarimu ni amri ya 4 kwa wakatoliki isipotii siku ya mwisho utakutana na hukumu. Na ukiitii malipo yameahidiwa hapa hapa duniani.Hongera kwa ukarimu huo!
Siyo ukarimu ni amri ya 4 kwa wakatoliki isipotii siku ya mwisho utakutana na hukumu. Na ukiitii malipo yameahidiwa hapa hapa duniani.Hongera kwa ukarimu huo!
🙌🙌🙌Siyo ukarimu ni amri ya 4 kwa wakatoliki isipotii siku ya mwisho utakutana na hukumu. Na ukiitii malipo yameahidiwa hapa hapa duniani.
Asante Mkuu.Pole sana Mkuu.
Amina!Apumzike kwa Amani, alifariki tarehe km ya leo 21/06/2019.[emoji22][emoji22]
Bado! Mpaka nifike oxford ndio ntachoka.
Wangu mimi alikuwa kama jogoo wa kuku wa kienyeji. Akishatia mimba anasepa hakuna hata matunzo kwa hao waliikwa wake zake. Pia hakuwa na mpango wa matunzo kwa watoto wala matibabu wala elimu. Pia hata wakati anakula mtoto ukisogea karibu atakuchapa kwa kigezo kuwa siyo adabu kuwatizama wakubwa wakati wanakula. Hii ni kweli sijatia chumvi hata kidogo. Na Mungu alimjalia watoto zaidi ya 20 kwa wanawake 4 alobahatika kuzaa nao. Na kama kuna mwanaye mwenye elimu zaidi ya darasa la 7 basi walisomeshwa na wajomba zao.
Unapatikana pande zipi nikuazime ukae nae mwezi 1 tuu.Mmh huyu mzee ni kiboko.
Just imagine.
Watu hua wanaropoka tu bila kujua mtu anapitia mangapi.
Mume niko hapa na sifa kama za huyo mzee fursa hii mkuu "Happy Fathers day"Natamani ningepata mume Kama baba jamani!ingawa mkali ningekuvumiliaga tu..
Baba wewe ndo kila kitu kwangu..nafata Sana njia zako unazonishauri..mwe upone haraka "Osama"wetu!
Unapatikana pande zipi nikuazime ukae nae mwezi 1 tuu.
Enhee,ikawaje baada ya hapo?Nilipofaulu darasa la saba kwenda sekondari kuna wapuuzi walimwambia baba asinipeleke shule kwakuwa mimi ni wa kike.
Mzee aliwajibu siwezi kumdhulumu mtoto haki yake ya elimu eti kwakuwa ni wa kike atasoma mpaka atakapochoka mwenyewe.
Pumzika kwa amani baba yangu.
Hahaha huyo simtaki kabisa hafai.