Sema chochote kwa Baba yako, leo Father's Day

Sema chochote kwa Baba yako, leo Father's Day

Happy father's day kwa ma uncle zangu... Nawapenda... Yaan hata naogopa kufanya ujinga mbele yao... They are really a blessing to me (us) pamoja na ndugu zangu[emoji4][emoji4][emoji4]... And happy father's day to my papaa in heaven forever in my heart you ar missed [emoji22][emoji22]...
 
Nakushukuru mzee wangu kyaka kwa kunifundisha maisha ..nakumbuka ulipokea kipensheni chako 2012 Ila nilichoambulia ni pagara la vyumba vitatu ukasepa zako..mungu akuongoze na akuponye na mkeo huko ulipo..
Angalau umepata eneo, kiinua mgongo ni malipo ya kazi yake aliyoifanya miaka na miaka.
 
Akina baba tusichoke. Hata kama michango yetu haionekani wala kuthaminiwa sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
IMG-20200621-WA0038.jpg
 
TAFADHALI

Kuna kitu nimejifunza. Siku ya mwanamke, ni ngumu sana mwanaume kuitamka kwa dhihaka. Inabebwa kiheshima na kwa thamani kubwa. Lakini siku ya Baba dhihaka ni kubwa sana.

Dhihaka hasa toka kwa wanawake ambao kwa kiherehere chao hawakuchagua mtu sahihi wakajiangusha kwa kijitu tu na kubeba mimba. Mwisho wanajipachika jina la kidwanzi la single mothers... utadhani kuna album mothers au double mothers.

Wewe single mother ushawahi kutafakari uzinzi wako uliofanya kabla ya kupachikwa usingle mother wako huo na kibwana chako huko mitaani? Je kosa lilikuwa la mwanaume au kiherehere chako cha kutaka kuona mama zako wanapata nini kwa wanaume?

Sasa UPUMBAVU wa kibwana chako ndo unataka kuipindua siku ya Wababa wenye majukumu yao iwe yenu kisa haraka zako za uasherati? Mmekuwa kama Wakenya kutaka kila kitu cha Tanzania kiwe chao. Nanyi siku ya Baba Duniani mnaitaka kwa kuita "Happy Father's Day kwa Single Mothers?"

Pambaneni na hali zenu.

"Happy Father's Day"
Naona umeamua kuwashukia masingo maza. Kulikoni?
 
I wish angelikua hai leo ningempelekea Grants , nilimpenda sana mshua dingi mkakisi unpredictable the man himself, my best friend RIP
 
Back
Top Bottom