Baba zetu hua wanapitia mengi Sana huko kazini kwao ili sisi tusome,tule,tupendeze
Juzi nkiwa nmekaa getto nkakumbuka mengi sana
,Ndio nkajua mzigo walionao baba zetu,
Siku moja nlipomaliza form4 nlikua Bado young Sana, nikawa conductor wa gari yake kwa muda,
One f*uck man alimpiga mzee wangu ngumi ya bega
En my dady Ni mlokole hakutaka kufanya kitu zaidi yakwenda police
Of course yule jamaa alilipa ila Ile memory imekaa Sana ndani yangu
One day ntameet na yule f*ucking dog ,ntamuonesha nguvu ya mzee moyoni mwangu!