Sema chochote kuhusu wachaga

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Namini akuna kabila linalotajwa kwa mazuri na kwa mabaya kama wachagga je una lolote lakusema juu yao kwa mema au mabaya
Nawasilisha
 
Chaggaz tuna maendeleo kwa kujituma kimaisha siyo kukaa kijiweni kutwa nzima na kupiga miayo..
 
Wachaga wanapenda shule sana na kujituma na pia ni wajanja wajanja sana watu wa kupiga(madeal)
 
wanawake hawajui mapenzi


Yaani wewe mwanamke wa kichaga badala ya kuwaza pesa akae anakukatikia kiuno wewe? Kwa taarifa yako huwa siyo kwamba wanawake wa kichaga hawajui kufanya mapenzi ila wanapokuwa kitandani huwa wana hisia kali za kupata pesa ikiwemo kuchukua hata za kwako ndio maana wanatulia huku wakipiga ramani jinsi ya kuchukua hela kilaini hasa kwenu nyie vyasaka.
 
Wadada wa kichaga wa siku hizi WENGI WAO hawana mapenzi ya kweli. Wanaangalia pesa tu. This is according to my personal experience with numerous of them.
 
Wengi wao miaka ya hivi karibuni wamependa sana kushiriki kwenye mambo ya kichawi (kishirikina) hasa ku-boost mambo ya biashara!
 
hivi great thinkers ndio hivi,mbona kila siku wachaga wachaga??hakuna mambo ya maana ya kuleta hapa? mbona hamuongei kuhusu wakwere??acheni hayo mambo nyie
 
Wadada wa kichaga wa siku hizi WENGI WAO hawana mapenzi ya kweli. Wanaangalia pesa tu. This is according to my personal experience with numerous of them.

Nimecheka mpaka basi!
Kwanini hutafuti wanawake wa kwenu wasiopenda pesa kaka?
Ukiona mwanamke anakuta pesa sana ujue hakupendi.Haijalishi kabila.
 
Back
Top Bottom