Sema chochote kuhusu wachaga

Sema chochote kuhusu wachaga

Wachaga wanawanyima sana watu usingizi humu, am quet flattered......
 
The only constituency female member of parliament in tz is a chagga.
 
Mi ntafurahi sana endapo mchaga ataweza kutamka,"mabucha ya nguruwe"! Kama hakusema "mabusha ya nguruwe" ntashangaa sana labda awe chasaka!
 
mzaramo:masawe sasa hvi ni saa ngapi
masawe:saa 12cash aah!sorry saa 12kamili
 
Back
Top Bottom