Sema chochote kuhusu wachaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sema chochote kuhusu wachaga

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by 3squere, Jan 11, 2012.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Namini akuna kabila linalotajwa kwa mazuri na kwa mabaya kama wachagga je una lolote lakusema juu yao kwa mema au mabaya
  Nawasilisha
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  wanawake hawajui mapenzi
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  umechagua kusema lililo jema......

   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Chaggaz tuna maendeleo kwa kujituma kimaisha siyo kukaa kijiweni kutwa nzima na kupiga miayo..
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wachaga hawabebeki!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Wachaga wanapenda shule sana na kujituma na pia ni wajanja wajanja sana watu wa kupiga(madeal)
   
 7. R

  RANGO Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wachaga wanajua kitafuta hela na matumizi ya busara kama vile kujenga kwao
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Yaani wewe mwanamke wa kichaga badala ya kuwaza pesa akae anakukatikia kiuno wewe? Kwa taarifa yako huwa siyo kwamba wanawake wa kichaga hawajui kufanya mapenzi ila wanapokuwa kitandani huwa wana hisia kali za kupata pesa ikiwemo kuchukua hata za kwako ndio maana wanatulia huku wakipiga ramani jinsi ya kuchukua hela kilaini hasa kwenu nyie vyasaka.
   
 9. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wadada wa kichaga wa siku hizi WENGI WAO hawana mapenzi ya kweli. Wanaangalia pesa tu. This is according to my personal experience with numerous of them.
   
 10. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Wengi wao miaka ya hivi karibuni wamependa sana kushiriki kwenye mambo ya kichawi (kishirikina) hasa ku-boost mambo ya biashara!
   
 11. R

  RANGO Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wacha wewe,, wachaga biashara iko kwenye damu hawana haja ya ushirikina kwani biashara ni akili na experience walonayo
   
 12. S

  SUWI JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hawabebwi wanajibeba wenyewe!!
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi great thinkers ndio hivi,mbona kila siku wachaga wachaga??hakuna mambo ya maana ya kuleta hapa? mbona hamuongei kuhusu wakwere??acheni hayo mambo nyie
   
 14. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wachaga wabangidu!
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  ntashangaa nisipoona mtu fulani akitoa mitusi hapa
   
 16. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hahahaaaaaaa! ngoja nikae kimya hapa
   
 17. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimecheka mpaka basi!
  Kwanini hutafuti wanawake wa kwenu wasiopenda pesa kaka?
  Ukiona mwanamke anakuta pesa sana ujue hakupendi.Haijalishi kabila.
   
 18. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  wanajitegemea wabebwe ili nini?? kawabebe wakwere huko...wanaoshinda uani kucheza bao...
   
 19. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  wanakipi???? mti utupiwao mawe sana jua unamatunda....kalagabaho director
   
 20. F

  Fahari omarsaid Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wachaga washenzi
   
Loading...