ceekay
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 413
- 156
Hiyo ishu ni kweli,tatizo historia ya makabila hatuijui maana ya wapare kwa kichagga ni wapige but baada ya muda kwenda ili kuondoa uhasama ndipo wakawa watani wetu tunaenda kwao kuwanyaanganya kuku, mbuzi, ngombe au kitu kizuri akiwa nacho lakini si kwa ugomvi kwa utani ndo mpwka leo hii wachagga hatuna watani wengine ni wapare tu.
Sawa mtani! Kila neno kwny kabila flani lina maana tofauti