ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 219
Watamu sana
ha,ha,ha,ha,ha,ha
Watamu sana
Chezea chagga weye utalala hoooi
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hawapendwi sana na wanyakyusa(bha majhanga) eti wanaua waume zao yan unyakyusan bora uoe kabila lingne lakn co chaga
Yaani wewe mwanamke wa kichaga badala ya kuwaza pesa akae anakukatikia kiuno wewe? Kwa taarifa yako huwa siyo kwamba wanawake wa kichaga hawajui kufanya mapenzi ila wanapokuwa kitandani huwa wana hisia kali za kupata pesa ikiwemo kuchukua hata za kwako ndio maana wanatulia huku wakipiga ramani jinsi ya kuchukua hela kilaini hasa kwenu nyie vyasaka.
Hali ya maisha imeshawabadilisha hasa wadada. Nasikia wakienda dar wakifika mto Wami wanavua pichu zao na kuzitupa mtoni wanaingia dar kikazi zaidi.