Sema chochote kuhusu wachaga

Sema chochote kuhusu wachaga

wanaume wanavichwa vikubwa kama sylvester aliyekuwa beki wa man utd
 
Ahahaha...tuko juu kama mlima k,njaro,tumewazdi wanaotufuatia kwa 92%he kwani uongo?
 
Ukiona mchaga anajenga urafiki na wewe ujue ameona kuna kitu atafaidika toka kwako sio wewe ufaidike kutoka kwake ha ha haaaaaa
 
Im proud to be chagga you mess with me i will fck u up you have problem with chagga go hug transformer message sent...................... Delivery
 
Yaani wewe mwanamke wa kichaga badala ya kuwaza pesa akae anakukatikia kiuno wewe? Kwa taarifa yako huwa siyo kwamba wanawake wa kichaga hawajui kufanya mapenzi ila wanapokuwa kitandani huwa wana hisia kali za kupata pesa ikiwemo kuchukua hata za kwako ndio maana wanatulia huku wakipiga ramani jinsi ya kuchukua hela kilaini hasa kwenu nyie vyasaka.
chibo cha yaave!
 
Wanawake wa kichaga wanamafiga mazuri ya kisex lakini sasa dah...
 
Siyo malaya,wapole,werevu,wabahili

Siyo kweli Wachaga ni moja ya kabila Malays, jeuri, na si bahili tena.

Kwa taarifa yako pale Moshi kuna ufuska wa ajabu sana na wote ni wachaga ndo wanafanya mambo hayo.

Moshi ni kati ya miji midogo hapaTanzania ambayo utakuta akina dada poa wanajiuza waziwazi tofauti na miji mingine midogo ya mikoa.
 
Siyo malaya,wapole,werevu,wabahili

Siyo kweli Wachaga ni moja ya kabila yaliyojitokeza kuwa Malaya, jeuri, na si bahili tena.

Kwa taarifa yako pale Moshi kuna ufuska wa ajabu sana na wote ni wachaga ndo wanafanya mambo hayo.

Moshi ni kati ya miji midogo hapa Tanzania ambayo utakuta akina dada poa wanajiuza waziwazi barabarani tofauti na miji mingine midogo ya mikoa.

Ukienda sehemu za starehe kama malindi bar, club kama pub albeto, la liga utakutana na changudoa wanaojiuza waziwazi kitu ambacho ni nadra kwa miji mingine midogo ya kiwango cha moshi, mfano Iringa, singida, tabora, shinyanga, kigoma, hata Dodoma mji ambayo una interluction kubwa ya watu hasa wageni sijaona wanawake wakijipanga barabarani kujiuza, ila nimeshangaa kwa Moshi.

Hii sijui imetokana na nini kwani sioni kama moshi ina wageni wengi na wapitaji mana si mkoa wenye junction kusema watu wanakuwa on transit kuweza kuvuta wadada poa, hivyo kunipa hisia kuwa wanaofanya biashara hii ni wenyeji yaani wachaga na wateja pia ni wenyeji yaani sehemu kubwa ni wachaga kwa sababu hiyohiyo.

Samahani kwa kukupinga kuwa wachaga si malaya, huu mi mtizamo wangu tu.

Naomba kuwasilisha
 
Kizazi cha wachaga wa sasa shule sio kwa sana kama kizazi cha miaka ya 70 na mwanzoni mwa miaka ya 80
 
Mke wa kichaga(marangu) wepesi sana kusaliti ndoa(mwenyewe nitakuwa shaidi)
 
Back
Top Bottom