Sema chochote kuhusu wachaga

Sema chochote kuhusu wachaga

Wanapigwa bao na wakinga. Siku hizi hawana chao
 
Wachaga nawakubali sana. anapozidi kupata fedha ndipo anaongeza miradi yake. lakini kuna makabila fulani anapozidi kupata ela ndio anaongeza idadi ya wanawake. akija kufilisika inakula kwake.
 
unajua kitu kikiw kizuri watu wanashndw kukisifia wanabak nkuponda ili kupoteza ukwel.......bt VIVA wachaga
 
wachaga gangwe sana. Waliwapiga sana wapare hadi jina la kipigo likawa la kabila. Wapare maana yake wapasue

Ha ha ha! Raia Fulani wewe utakuwa Mchagga wewe? Umenifurahisha sana Meku but hiyo si kweli! Hiyo ni story kama ile uliyopigiwa na babu yako kuhusu Mawenzi na Kibo walikuwa marafiki wakagombana halaf Kibo akamwagia uji Mawenzi (Et ndio kisa cha Mawenzio kuwa na theluji)
 
Mechi ya wachaga na wahaya, wachezaji wakawa kama ifuatavyo

Wachaga
  1. Massawe
  2. Tarimo
  3. Swai
  4. Kimaro
  5. Temu
  6. Shao
  7. Shayo
  8. Moshi
  9. Urassa
  10. Temba
  11. Mroso
Wahaya
  1. Rweyemamu
  2. Karugaba
  3. Bitegego
  4. Rwiza
  5. Mugyabuso
  6. Katunzi
  7. Kashaija
  8. Mutafungwa
  9. Mutakimbizwa
  10. Mutakamatwa
  11. Mutapigwa
Wachaga kuona list ya wahaya wakaamua kutoka nduki wakiogopa kufungwa, kukimbizwa, kukamatwa na kupigwa
 
Mechi ya wachaga na wahaya, wachezaji wakawa kama ifuatavyo

Wachaga
  1. Massawe
  2. Tarimo
  3. Swai
  4. Kimaro
  5. Temu
  6. Shao
  7. Shayo
  8. Moshi
  9. Urassa
  10. Temba
  11. Mroso
Wahaya
  1. Rweyemamu
  2. Karugaba
  3. Bitegego
  4. Rwiza
  5. Mugyabuso
  6. Katunzi
  7. Kashaija
  8. Mutafungwa
  9. Mutakimbizwa
  10. Mutakamatwa
  11. Mutapigwa
Wachaga kuona list ya wahaya wakaamua kutoka nduki wakiogopa kufungwa, kukimbizwa, kukamatwa na kupigwa

i,esimama mtu wangu.
 
Tembea Tanzania nzima kila mahali utamkuta mchaga anafanya biashara!..............Kudadeki Mchaga!!
 
Wanakunywa bia haoo...Ila hawapendi kunywa pombe kali kama vodka,wisky etc
 
Jamani wanawake wa kichaga wazuri sana. Huo ni ukweli.
 
ijadhibitishwa ! Unadhani hao ni wagogo,tangu lini ukanywa gongo ukaota kitambi? Wakati kitambi ni sifa yao pia.

hahahahaaaa. Ila kweli. Wachaga wengi wanavitambi vya bia. (ila mimi sitakuwa nacho coz situmii bia pia kwetu hatuna asili ya vitambi)
 
Back
Top Bottom