holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,792
- 9,080
Siku ya leo sema Ahsante kwa mtu yoyote aliyekufanyia jambo au kitu kizur katika maisha yako na mpk sasa hivi uko hapo ulipo
mimi nasema Asante kwa Mungu aliye nilinda mpk saiz napumua
nasema Asante kwa wazaz wang walio nifanya niwe hapa nilipo
ex wang popote ulipo asante sana kwa migegedo mizur tuliyoifanya
hebu sema asante leo na utabarikiwa
nawasilisha.