Emmaculata shayo,Fainali ya Miss Tanzania leo
Anne unangalia hii View attachment 2231561
mbavu zangu shoss!!!๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃWewe clas Utakua msumbufu balaa!!Au had niandike barua? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mremboHili shindano bado lipo kumbe
Nimewachek apo naona taji likienda kwa amida twaha
Poleeeeeh shouzzzzzz, njooo town.Kabisa aseeh ! Mie nataka potential areas hata mtu ukiwekeza na kufanya mambo yako panakubali sasa huku uwiiii!! Afu vijijini nuksi kweli ukianzisha biashara akaja mteja usipomkaribisha au kumsalimia kwa vernacular language itadodaa!![emoji134][emoji134][emoji134] kuna Ukabila mnoo mnoooo yani na figisu nyingi sana kutokana na ile majority kabila moja !! Kabila lenyewe sasa!![emoji848][emoji848]
Na amejaaliwa haswa + kasura kazuriNdiyo nilikuwa nawaza nani F wa "kishua" afu anaimba. Maana lazima awe high class ili agombane na N. Sio kwa lile hips lake jamani
Wamrudishia mzee lundenga tamasha lake.Ah sawa
Siku hizi hazina mvuto sana ..zamani ndo ilikuwa raha kuzifuatilia
Hata zamani sijawahi angalia๐Ah sawa
Siku hizi hazina mvuto sana ..zamani ndo ilikuwa raha kuzifuatilia
Mrembo kweliEmmaculata shayo,
[emoji3581]
Hapa wenye vichwa vizito tumetoka weupe kama karatasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema mie nawakubali R na F wana behave kisomi na smart, wanaonesha umuhimu wa kuwa na Elimu, ila R anajua kutetemesha, anatema yai had chimbo linatikisika, yaan kimalikia chake kimenyoooka mno, ndo raha ya kusoma majuu.
Afu kumbe F kamaliza UDSM 2015, mie nilijuaga mtoto mwenzangu wee siku hiyo acha aniweke wazi nlishtuka, ana muonekano wa kitoto.
N mswahili sana, some time wakianza kukwaruzan na J lo, bas mambo mareshhhh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nimemuelewa Jenipher!Emmaculata shayo,
[emoji3581]
Ndo shida hapoWamrudishia mzee lundenga tamasha lake.
Sema mzee alikuwa anawala sana naye.
Hao wakina temba hapo watafute biashara za kufanya ๐๐๐๐Ni mrembo
Ooh ngoja tuone matokeo yatakuwaje
Nimekapenda Happiness Mroso
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kunijua bhanaa,
Asante dear!Kashngo kazuri ๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya barua haya, utotoni raha sana.mbavu zangu shoss!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe clas Utakua msumbufu balaa!!
Wote wacute๐Fainali ya Miss Tanzania leo
Anne unangalia hii View attachment 2231561
Hivi ni wenye Startimes tu ndio wataona?Ila vingโamuzi jamani.. kama huna mtonyo wa kuweka vyote ni mtihani kweli kweli