Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ eeeh ndio maana pazuri watu tunajaaaa asubuhi inakuta na supu ya utumbo wa kukuu na miguu yake yaani hiii .. jioni nakuwekea kabisa siti yako mapemaaa maana mie ndio naenda hapo sasa hivi nimeisha maliza kupiga debe
Pale ukiwa mteja wao wanakuwekea siti yako spesho ndio nachowapendea.

Utakaa had saa ngapi?
Me jioni ndio nitakuja hapo kula chapati na maharage + ile chai yao wanawekaga viungo inanukia adi sio poaπŸ˜‹πŸ˜‹
 
Upendo ndio kila kitu na tusipende kutamkia wenzetu wenye changamoto maneno mabaya hatujui yatawaathiri kiasi gani.

Same kwa hao wagonjwa, kama wewe ni mzima basi usiwatenge, uwatendee yaliyo mema since hamna aliyependa kuumwa
Ukimwi ( jina la ukimwi ) limebeba fear, na hofu inaondolewa na upendo tu. Kukiwa na upendo kuanzia jamii na waathirika ( ukimwi unapoteza nguvu ) Ukimwi umejawa na roho ya hofu na roho ya hofu imeambana na roho ya mauti, njia pekee kushinda hivi ni Love and Forgiveness.. Pia waathirika wanakwama kwa kuto samehe, kutokusaheme kunazaa uchungu, na uchungu ni malngo wa hofu na hofu hufungua mauti na nguvu zake kwa mtu.. But mtu akijengewa msingi akaseheme akaishi kwa upendo na kaishi na wanao mpenda haina shida πŸ₯ΉπŸ₯Ή
 
Pale ukiwa mteja wao wanakuwekea siti yako spesho ndio nachowapendea.

Utakaa had saa ngapi?
Me jioni ndio nitakuja hapo kula chapati na maharage + ile chai yao wanawekaga viungo inanukia adi sio poaπŸ˜‹πŸ˜‹
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haaa mie hapa nakaa hadi wafunge si unajua sina pa kuishi labda na leo nije kwako

nitajibanza korindoni kama sebuleni hapafai
 
Ukitulia unaandika 😍
 
Jina linaogopesha sababu ya mentality iliyojengeka kwa fikra zetu.
 
Jina linaogopesha sababu ya mentality iliyojengeka kwa fikra zetu.
Hapana kuna Mystery juu ya kila jina, jina la kitu limebaba personality.. kwanini aitwe Mungu ( ndani ya jina la Mungu kuna personality) .. Kuna jina ukisia unapata amani kuna jina ukisia linatisha .. kitu kilicho nyuma ya lile jina sio kizuri na ndivyo ulivyo ukimwi.. but because hatuna imani sawa na uchanga wa kiroho tuachie hapaa but kuna deep deep mysteries ya majina .. siku tukienda zetu moro kupumzika nitakufundishaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wee tukienda huko staki story za kutisha, mood itakata🀣🀣

Huko ni kula na kufurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…