Hata Zamani tu..kwani unakuta kata ina shule kama 3 au 4 za sekondari 9 au10 za msinngi wakati katika kata kuna dispensary 1 tu! kituo cha polisi kimoja watendaji wa kata wawili n.k so Moja kwa moja walimuy ndio tumezagaa zagaa sana!Mmejaa mtaani Kwa miaka hii
Lakini kipindi Cha nyuma ajira zenu zilikuwa hazisumbui.
Na ninazungumzia kijijini huko ndanindani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hakukuwa na adhabu nyumbani Kwa mwalimu.Hukuwai kutumikia adhabu
Nyumbani kwa mwalimu au ulikuwa untouchable[emoji848]
Yaani acha tu rahasana[emoji7][emoji7][emoji7]
Yaani ukiwa mwalimu ni raha jamani,
Hasa vijijini huko.
Huyu anakuletea hiki,yule anakuletea hiki
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Bado mwalimu aliheshimika mno aisee.Hata Zamani tu..kwani unakuta kata ina shule kama 3 au 4 za sekondari 9 au10 za msinngi wakati katika kata kuna dispensary 1 tu! kituo cha polisi kimoja watendaji wa kata wawili n.k so Moja kwa moja walimuy ndio tumezagaa zagaa sana!
Auntie Junia na wewe ni Mwalimu?Yaani acha tu rahasana
Hapa point kabisa ukirudi umejichokea utasikia hodi tumekuja tukuoshee vyomboSiyo kuku tu.
Wanafunzi walikuwa wanawapa kuni,wanawachotea maji enzi hizo mimi mdogo.
Nimekua naona wanaleta hiki,mara kile
Maembe yakianza sasa acha tu ..
Kila mtu anataka ampelekee mwalimu .
Watoto wa mjini hamuwezi elewa haya mambo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
EwaaaHapa point kabisa ukirudi umejichokea utasikia hodi tumekuja tukuoshee vyombo
😘😘😘😘♥️Hapa point kabisa ukirudi umejichokea utasikia hodi tumekuja tukuoshee vyombo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haija chanika sana aaaah. Ilibidi paja njee.Na suruali ya kuchanika kama imeliwa na panya[emoji23]View attachment 2230017
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kitambooooooh. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Emb selfika 1
Unajua kujieleza[emoji1787]Hakukuwa na adhabu nyumbani Kwa mwalimu.
Adhabu zilizokuwepo shule nilifanya,japo merely sana
Huwezi nikuta kwenye makosa hovyo,labda yale ya jumla jumla.
Na nilipokuwa kwenye makosa nilitreatiwa kama watu wengine .
Nakumbuka kuna siku nilibaki na Mimi kuangalia mechi ya ngumi shule[emoji23],,,mwalimu ambaye ni mama yangu akatubamba.. Alikuwa anarusha kichura yule Maza acha kabisa.
Siku nyingine nilibambwa na kosa Gani sijui,Mzee alinitandika,,nilimmind sana .
Ilikuwa ndio mara ya Kwanza Mzee kunikamata kwenye adhabu shuleni na ilikuwa mara ya Kwanza kuchapwa na Mzee .
Nyumbani sijawahi pigwa na baba.
....
Untouchable somehow[emoji6],Maza alikuwa ananipenda na hakuwa tayari kuniona nachapwa kizembe bila sababu za msingi
Na Mimi nilijitahidi kwenda vizuri,nidhamu na masomo pia +nilipata hitilafu mkono wangu uivunjika Kwa hiyo nilikuwa siguswi.
Hiyo ni kwa level zote za elimu yangu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Woyoooo Junia ana Auntie mwalimu[emoji91]Nitamnyoosha hasa asije akanambia nitakusemea kwa mama akuchape [emoji1751][emoji1751]nitanyoosha Hadi akifika hom asahau alichotaka kusema[emoji23][emoji23]
Msimu wa mvua sasa mahindi maboga viazi matikiti [emoji8]
Na hapo sijaongea kwa Sauti.Unajua kujieleza[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Woyoooo Junia ana Auntie mwalimu[emoji91]
Afadhali aisee,,maana angeniendesha sana huyu dogo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Acha kabisa[emoji2][emoji119]Msimu wa mvua sasa mahindi maboga viazi matikiti [emoji8]
Acha kabisa... maharage mabichi!!Msimu wa mvua sasa mahindi maboga viazi matikiti [emoji8]
Mwehhh!!! !! Sema tuna uhuru fulani hivi hapo tu! Huku kwingine Tafrani tupu!Acha kabisa[emoji2][emoji119]
Mara umeletewa maboga
Huyu kabeba Karanga,huyu tikiti
Ili mradi tu mwalimu ufurahi.
Nikikua mkubwa nataka niwe mwalimu[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hii Gari hashimu thabit akitosha humo naacha kutumia jf