Ndiwooo
Tutakutana dear!
Wala huu mwaka hautaisha [emoji39][emoji39][emoji39]....
Naomba uwe mtu wa kwanza mimi kukutana naye! Najua wewe ni kadogo nitakuonea tuu!!
Ulichonifanya jana na Mshana sina hamu! Mewasubiri mpaka nikachokaa, halafu mlileft pamoja haki!
Unaenda wapi eti, subiria hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji125][emoji125][emoji125]
Ipo siku itatimia kaka!Hii ni fantasy tu mdogo wangu...
Eeehhh
Sio rahisi, na uzee huu huyo mmoja ananishinda, wawili nawawezea wapi..Ipo siku itatimia kaka!
Hahahahahaha
Vidole vyako ni vizuri sana jamani
Wewe mwenyewe umefunga pm mdogo wangu mzuri mzuri!!
NdiwoooMmhh mtu wa kwanza kukutana naye?? Wa hapa JF?? Ina maana haujawahi kukutana na mtu yeyote wa JF??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu muongo haukufungua mbona Mshana Jr anasema ulimkimbiza hadi kwa waziri mkuu halafu haukufika??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si kwa ubaya
Wewe huyoooMimi mbona ipo wazi dada angu mzuri mzuri
Kwenye selfie[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]uliviona wapi??
Wacha nikae kimyaSio rahisi, na uzee huu huyo mmoja ananishinda, wawili nawawezea wapi..
Why hukuniambia jamani[emoji24][emoji24][emoji24]Wewe umeenda wapi sasa jamani, nikajua nikitoka huku nakukujia jamaniii
Mmhh mtu wa kwanza kukutana naye?? Wa hapa JF?? Ina maana haujawahi kukutana na mtu yeyote wa JF??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu muongo haukufungua mbona Mshana Jr anasema ulimkimbiza hadi kwa waziri mkuu halafu haukufika??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YesSometimes yes.... Sometimes no... View attachment 1251847
Usiniambie haupo jamani auntieWhy hukuniambia jamani[emoji24][emoji24][emoji24]