nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,384
- 7,729
Marahaba uncle nikutumie hela ya supu sasaShikamoo ankoo… iko hapo chini kidogo
Marahaba uncle nikutumie hela ya supu sasaShikamoo ankoo… iko hapo chini kidogo
😂😂😂😂 jamaniYaani binti yangu una sura ya kitoto hadi raha na hilo dimpo hapo kwenye masseter muscles, babu yako sina neno tena☺
Ufanye nikupeleke vacation sasa
😂😂😂😂 supu za jioni jioni hazinogi… labda michemshoMarahaba uncle nikutumie hela ya supu sasa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na hamtapumzika mpaka mkome 😂😂
Kama nawaona mlivyoiundia habari.
Endeleeni kuteseka kidogo 😋
New avatar haijazaliwa 😝
Naomba number ya headmaster..😂😂😂😂 jamani
Haya ila bado hatujafunga shule
Hapana, hili nitakuambia siku nyingine maalum......Ndio maana nini braza 😂😂🙈
😂😂 nikiconcentrate na pose la picha banaMy wangu we ni biurifooooooo😍😘😘😘
Sawa braza…Hapana, hili nitakuambia siku nyingine maalum......
Leo sitaki kufaidisha watu, sawa braza ?
🤭🤭🤭🤭🤭 Umejua nitoa udendaaa
Wewe Lenie mbona unatuma picha za sharubati tu.......
😀😀😀 Hapo zamani za kale kabisaaa huwa hatusahau ila hatupaswi kuyarudia .. Ethiopia kati kati ya ya mwezi huu nakwenda hapo Mwana wa MunguBaba Mchungaji.
Ethiopia kwenye chimbuko letu tutafika kweli?![]()
Sielewi ni makusudi au accidentally..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa hapa ile sticker ya kipaka kinachokana uno ndio ingefaa.
Kwahiyo watufanyia maksudi sio?😂
Foodie 😂
😂😂😂😂Naomba number ya headmaster..
Mjukuu😂😂😂😂
Relaaxxhajawahi kuniangusha shouzzzz angu, yeye ameelewa. Kuwa mpoleeeeh tyuuh.
Abee babuMjukuu
Wala asali awamu ya mama.
Babu naomba adress nikimaliza shule nilete job application 😜