vyombo vya humu vinawenyeweee kina mtu chake wa moja hapati mbili na kakitokea kamoja kunipa natangaza kwenye uzi wa kimasiahara na bango juu kama zamaradi maaja sijui kutunza siri mie
mtu anipeee naitisha mkutanooo hapa mkubwa nachinja na bunzi sema mie sio playboy nitahakilisha yupo samala hata kama nitamtangaza kuwa nime mkula π π π
π π π Sie watu wazima hatuna hayo mambo , hayo mambo ya watoto au sio uncle.. alafu watu hawaju mie ndio nina wapenzi wengi sana humu sema nakaa kimya kimyaaa naweza kabisa anzisha darasa na wakatosha sema sipendi show off na wenyewe wapo matured π π π π