Mama la mamaa , mama la wote
mahondaw .. unachosena kweli, wanakuwa hawajiamini na wengine wanakuwa kama malaya malaya ( samahani sipendi kabisa kutumia hili neno ila imenibidi sina neno lingine π₯²).. Ukiona mwanaume malaya malaya atulii lae nae mbali anaweza kuleta mamikosi ndani ta nyumba nje tu ya magonjwaa alafu auto mnakuwa mnadhaurika π
π
π