Selfika na JF: Snap it. Show it

Mama la mamaa , mama la wote mahondaw .. unachosena kweli, wanakuwa hawajiamini na wengine wanakuwa kama malaya malaya ( samahani sipendi kabisa kutumia hili neno ila imenibidi sina neno lingine 🥲).. Ukiona mwanaume malaya malaya atulii lae nae mbali anaweza kuleta mamikosi ndani ta nyumba nje tu ya magonjwaa alafu auto mnakuwa mnadhaurika 😅😅😅
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heaven Sent kuja umchukue mdogo wako
Anaita watu Malofa

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Leo hakuna atae niweza humu 😅😅😅 kwanza huyo unae muita nina hasira nae ni bora asitokeee hapa 😅😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] km sebulen mguu kwa meza, mguu kwa sofa, yaan hapo full pract ya uzazi. Woyooooooooj
😅😅😅😅 acha kabisaaa mizagumo ni 🔥🔥🔥 sema wajikoni huwa naona unanoga zaidi sebuleni wengi wana practice uje ujaribu makaribuni ndio funga kazi unashika ka masalaba yaani acha kabisa unaweza jenga kaburi ndani
 
Shouzzzzzz sitaki uandike tena hivi, yu know wai nasema hivyo
Una dunia yako bhana, acha kujichosha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🫣🫣🫣🫣 kitoto cha Mungu asubuhi hii wengine hatuna vyanzoo
 
Sio ndani ya kaburi kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaaa....!!!! Inapendeza pia unawapokea tu maisha ndio hayahaya mdogo wangu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona mada imefika kwa mlengwa.
Haya sasa, sie tunatazama tyuuh. Woiiiiiiiiih
 
Hahahaaaa....!!!! Inapendeza pia unawapokea tu maisha ndio hayahaya mdogo wangu!
Navuta picha ndio ingekuwa Mimi🤣
Akiyanani ingekuwa ni vurugu mechi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Madam Shangazi mama wa wote, wengine hawana akili, hawana aibu , hawaji heshimu, njaaa na wengine ndio vile beki hazikabi anaona akiwa na mtu flani kama sifaa hakuna beki hakuna beki 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…