Naomba wire kibamba huku π π πSii picha zenu jamani...kasoro huyu mmoja naona ana tako hiloπ€£π€£π€£π€£
Embu nikuone basi cheupe wanguSio mie huyo
Kwa nini unacheka?duh
Imebidi nicheke tu
AiseeOoh yeah wapo vizuri kweli
Nimependa kweli wanavyoshona View attachment 2228507
Muda mwingineEmbu nikuone basi cheupe wangu
Kwa nini unacheka?
Nimekumbuka mbali sana,
Nikiwa naelekea Istanbul nipo na jamaa angu(comrade), tunakatiza Atlantic Ocean, baada kama ya lisaa nilianza kuhisi hali si nzuri, pilot akatangaza hali si shwari kwani kuna mechanical issue na hawajui haswa tatizo linasababishwa na nini, jamaa akasema hawajui kinachoendelea zaidi ya kufanya water landing.
Ndege nzima ukimya ulitawala kulikuwa kuna watu wamelala ilikuwa usiku, naona flight attendants wanapita huku wanaenda kule sasa ndio walikuwa wanawachanganya abiria mimi nikiwemo kwani captain alikuwa hajatoa taarifa zaidi, yule mshikaji wangu alikuwa anatukana hovyo, anarudi huku kuangalia dirishani sijui alitaka apitie palehalafu anatukana mwenyewe " fuk,shit, fuuuuuk, nope it's ok, fuk, fffffuk" asee we acha tu, mimi hapo moyo unapiga si kawaida, ku survive water landing ni bahati sana , we acha tu, sikia kwa mwingine tu, unaweza kujisaidia
Thats why nimewaza hiko kisa baada ya kuona hio ndegeni kama umenirudisha nyuma sana.
Thanks.
Kumbe dogo tyuuh. Lol.
Kwa nini unacheka?
Nimekumbuka mbali sana,
Nikiwa naelekea Istanbul nipo na jamaa angu(comrade), tunakatiza Atlantic Ocean, baada kama ya lisaa nilianza kuhisi hali si nzuri, pilot akatangaza hali si shwari kwani kuna mechanical issue na hawajui haswa tatizo linasababishwa na nini, jamaa akasema hawajui kinachoendelea zaidi ya kufanya water landing.
Ndege nzima ukimya ulitawala kulikuwa kuna watu wamelala ilikuwa usiku, naona flight attendants wanapita huku wanaenda kule sasa ndio walikuwa wanawachanganya abiria mimi nikiwemo kwani captain alikuwa hajatoa taarifa zaidi, yule mshikaji wangu alikuwa anatukana hovyo, anarudi huku kuangalia dirishani sijui alitaka apitie palehalafu anatukana mwenyewe " fuk,shit, fuuuuuk, nope it's ok, fuk, fffffuk" asee we acha tu, mimi hapo moyo unapiga si kawaida, ku survive water landing ni bahati sana , we acha tu, sikia kwa mwingine tu, unaweza kujisaidia
Thats why nimewaza hiko kisa baada ya kuona hio ndege ndio tulikuwa tumepanda A340,ni kama umenirudisha nyuma sana.
Thanks.
Hatareeeeh sana.Sure inawaka hiyo
Usimbemende shos nawe sieeewKumbe dogo tyuuh. Lol.
Nimeona huko siku ya mahari Bibi harusi anasonga ugali akiwa amevaa nguo zake
KhaaaaNimeona huko siku ya mahari Bibi harusi anasonga ugali akiwa amevaa nguo zake View attachment 2228529
Unafikiri ni joke au hadithi π π , its true..
Nimeshangaa eeh .... gauni lenyewe linaburuza hivyoKhaaaamakubwa
DuhNimeona huko siku ya mahari Bibi harusi anasonga ugali akiwa amevaa nguo zake View attachment 2228529