Selfika na JF: Snap it. Show it

Mama la Mamaa mahondaw umelala au unatucheki kama guest user πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ fanya namna maana wewe ni namba ingine uzuri na urembo wako haulezeki hata wanaotumwa kukuhujumu ili nafsi yako iiname wameisha fail tayari wewe ni habari ingine ingine matawi ya juu hadi mbinguni yanafika .. ebu fanya namna wajomba tufurahi alafu tulale 😍πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ mama usiw na mkuu mpolena mtulivu mwenye huna makuu wala sio muongeaji eeh yani yule mwanamke wa mithali ndio wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…