Selfika na JF: Snap it. Show it

UKO VIZURI πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Mpiga picha nae analipenda sana. Inabidi siku moja tukutane wote kulijadili 🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Unanunua gari zaidi ya 400 millions, alafu ufanye service za magumashi dishi litakuwa limeyumba, nawajua watu kadhaa wana hizo V8 namba A kama mpyaa na mwingine ndio anaendaga nalo kabisa site na juzi juzi amechukua SVR .. issue ya watu kulia lia wanachukua hizi gari mikononi na hujui mtumiaji wa awali alikuwa na matumizi gani, pia hata wanapochukua hizi gari kama used wanashindwa kuchukua zile za mnada wa wa 5 na 4.5 point wanachukua zile cheap sana hapo ndio baraa linaanza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu ile homuweki hukumaliza mjomba.
Ile ya kutawanya.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpwa niache kwanza, baada ya mpira nitakupa maana, hasa kama tutashinda. Tukifungwa sitaki hata salam yako.
 
UKO VIZURI [emoji1487][emoji1487][emoji1487]

Mpiga picha nae analipenda sana. Inabidi siku moja tukutane wote kulijadili [emoji1787][emoji1787]
Hili gauni aliyetengeneza ana nafasi yake special Mbinguni[emoji23]

Mpiga picha ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Gauni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


Sema kwenye hii picha yangu nilikuwa sijagundua mabawa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Naona FJ hapo imetulia, mwenzake huyo ni nanii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… acha tuendelee kupiga goti malaika wa pesa wazidi kutuinganisha na watu wenye pesa zetu
 
Naona FJ hapo imetulia, mwenzake huyo ni nanii [emoji28][emoji28][emoji28] acha tuendelee kupiga goti malaika wa pesa wazidi kutuinganisha na watu wenye pesa zetu
Mwenzake huyu Infiniti...

Yeah! Mibaraka na iendelee....

Fortnox wapi? I hope hajambo huko aliko. Ngoma zake zote mbili nazikubali kinyama yaani...
 
Ooh zinaweza zisiwe kubwa zikawa medium size
Ona kama hii nilisukaga muda fulani ..unakuwa zako mwepesi tu
View attachment 2227252
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Ulipendeza

Mimi naona kama mzigo...
Ngoja nijarubu makubwa zaidi..hizo bado naona ndogo..nitachoka mapema maana najisuka.
 
Na hapo likihaibika anatoka anatangaza RR ni gari mbovu sana, wanatukosea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…