Selfika na JF: Snap it. Show it

Jitahidi na wewe ukue big boy uwe unafaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au hutamani?
Nilishakuwa big boy miaka ya nyuma iliyopita , asa hivi hata sitamani nimeridhika tu kula kwa macho kama hivi.. naomba job description basi 😁😁😁
 
Nilishakuwa big boy miaka ya nyuma iliyopita , asa hivi hata sitamani nimeridhika tu kula kwa macho kama hivi.. naomba job description basi 😁😁😁
Najua kuna moments ukikumbukia unatamani kurudiπŸ˜›πŸ˜›
Job description nitakupatia chemba, wacha niiandae kwa sasa
 
Najua kuna moments ukikumbukia unatamani kurudiπŸ˜›πŸ˜›
Job description nitakupatia chemba, wacha niiandae kwa sasa
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nikikumbuka ndio kabisaa sitaki kurudi naogopa najiogopaaa enzi zangu yaani πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.. ama kweli Mungu yupo mie huyu mie huyu wa kupoa hivi kuwa kadagaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nikikumbuka ndio kabisaa sitaki kurudi naogopa najiogopaaa enzi zangu yaani πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.. ama kweli Mungu yupo mie huyu mie huyu wa kupoa hivi kuwa kadagaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mungu anakupenda sana, anakuandaa kuwa kondoo wake mwema.
Usimuangushe pls kwa kurudi alikokutoaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Enjoyyy🎡
Nalikuwa sijiwezi
Unyonge ulinielemea
Sikuwa na tumaini
La mbele kuendelea
Imani ilififia, sikuona kabisa
Kama moja ya nyenzo ilyotikisika
Nalikosa tabasamu usoni
Tegemeo sikuona maishani (maishani) Nikashindwa endelea mbele
Hali iliyofanya nikwame kule
Ulikonitoa ni mbali sana
Ni kweli umenikomboa nashukuru sana Ulikonitoa ni mbali sana
Ukanikomboa na zile laana
Mbali sana
Mbali sana
Mbali sana
Nashukuru bwana
Uliona haiko shwari
Mimi kupotea njia
Sijui ni namna gani uliwaza ukanihurumia
Na nilifanania jangwa mvua kutonyeshea
Nami mche mbichi maji yalinikaukia
Shida mateso sina tena yamewekwa nyuma Mimi wa Yesu mwingine sina wa kunirudisha nyuma
Wakati wa kuokolewa umekubalika
Kwa haki na ushupavu wake ukatimizika Ulikonitoa ni mbali sana
Ni kweli umenikomboa nashukuru bwana Ulikonitoa ni mbali sana
Ukanikomboa na zile laana
Mbali sana
Mbali sana
Mbali sana
Kwenye mateso Kule
Mbali sana
Nalionelewa
Ukanisaidia
Mbali sana
Eeeh mbali eeeh
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Sema au basi.. acha unitumie kwanza bundle.. na job description
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…