Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Emu nilale tu sasa
Maana nakoelekea nitapasuka kifua
Sasa leo namie natamani sticker zingekuwepo
Aki kichwa kimeuma sana leo🤣🤣🤣

Pumzika kesho tuanze upya mapemaa😂😂
 
Sasa leo namie natamani sticker zingekuwepo
Aki kichwa kimeuma sana leo🤣🤣🤣

Pumzika kesho tuanze upya mapemaa😂😂
Sasa nikiangalia ile stika yako unajizua kucheka mwisho unalimwaga 🤣🤣🤣🤣 ndio nazidi kufwa.

Nakuwasap kitu kabla sijalala😂😂
 
Back
Top Bottom