Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Ukute alikuomba pesa ya bolt aje we ukakaza ukasema unakuja mwenyewe.itokeee wapi, simu enyewe haipatikani kafunga kabisaaa , nimejishika tu kichwaaa 🤦♂️🤦♂️
Ndio matokeo yake hayo
Ukute alikuomba pesa ya bolt aje we ukakaza ukasema unakuja mwenyewe.itokeee wapi, simu enyewe haipatikani kafunga kabisaaa , nimejishika tu kichwaaa 🤦♂️🤦♂️
Leo tumewezwaaa aseee 🥲🥲🥲 inasikitishaaa sanaa
Ukimpa ya bolt anaboltuaqUkute alikuomba pesa ya bolt aje we ukakaza ukasema unakuja mwenyewe.
Ndio matokeo yake hayo
Mie sina hela sasa, acha nije mbagara sasa 😅😅 usinifanyoe tu mbagala langi tatu au chamazi 🤦♂️🤦♂️Ukute alikuomba pesa ya bolt aje we ukakaza ukasema unakuja mwenyewe.
Ndio matokeo yake hayo
Hahaa kivipi
Njoo kwanza adi mbagala, ukifika nitakuelekeza basi lingine la kupanda huwez poteaMie sina hela sasa, acha nije mbagara sasa 😅😅 usinifanyoe tu mbagala langi tatu au chamazi 🤦♂️🤦♂️
Namba inakua haipatikani kama ivi sasaHahaa kivipi
oyoooo naja lala koridoni tu si etiiiNjoo kwanza adi mbagala, ukifika nitakuelekeza basi lingine la kupanda huwez potea
Itakua imezima charge labda
Vyumba vipo kama vyote, siwez kukulaza koridoni weweoyoooo naja lala koridoni tu si etiii
Na mimi basi mkuuVyumba vipo kama vyote, siwez kukulaza koridoni wewe
kama vipi twende wote 😅😅😅