spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Mungu ana makusudio yake mkuu kuja kwako ukuAkawaza atakupeleka wapi
Msamehe bure jaman, huwez jua yamemkuta yapi
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Mungu ana makusudio yake mkuu kuja kwako ukuAkawaza atakupeleka wapi
Msamehe bure jaman, huwez jua yamemkuta yapi
Sante sana mwenyekiti..... taarifa imepokelewaaaa✌️✌️✌️😘
Ingieni had ndani, vyumba vyenu viko tayaritumefika tayari 😁😁😁 na spidernyoka getini hapa 😁😁😁
No face😉😉
Bila kumuona mwenyejiIngieni had ndani, vyumba vyenu viko tayari
Umeona eeh
😅😅😅😅 mie nalala ukutani mkuu
usitoke hapo mjumbe... naanza nayo
😂😂😂
😅😅😅😅Ingieni had ndani, vyumba vyenu viko tayari
Me ugenini siwezag kupata usingizi alaf kumbe dar watu wake waongo ivimie nalala ukutani mkuu
Mwenyekiti SAA tano usiwe mbali na USO wa simu yako!!Sante sana mwenyekiti..... taarifa imepokelewaaaa✌️✌️✌️😘
How tena?Hivi kumbe hata internet ya voda ina mambo ya ajabu hivi?
Sio wote mkuu, wengine wakweliMe ugenini siwezag kupata usingizi alaf kumbe dar watu wake waongo ivi
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Watu wa dar es salaam acha tu, bila Lenie tungelala stand 😅😅😅 basi we kapige story na Lenie mie ngoja nilale zangu maana nimechoka sana, nilitembea kutoka kimara hadi mbezi mwishoMe ugenini siwezag kupata usingizi alaf kumbe dar watu wake waongo ivi
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Net inakata kabisa
Kwa kweliSio wote mkuu, wengine wakweli
Voda hizi siku kadhaaa ni jipu, jana nilikoma hadi nikasema au nacho angali kinafanya malaika wapunguze speed ya internet ili niache.... nikaenda sehemu ingine ivyo ivyo mkoani hivyo hivyo nahisi wanashida mahala 😬😬Hivi kumbe hata internet ya voda ina mambo ya ajabu hivi?