Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,479
Kabisa asee asituangushe banaafocuss kijana aache uzembe
![]()
Kama hajatokea, hizo zawadi zilete tu kwangu mdogo anguNimelia lia lia JF pisi moja imenihurumia, kaniambia niende mbezi mwisho, nimsubiri kituoni sijui napiga simu yake inaniambia yupo busy karibia masaa mawili au yupo bus kuja kunichukua, nime mmbebea na zawadiMadam shangazi mahondaw mamaaaa pastaaaa jiraniii Heaven Sent Saint Anne View attachment 2226069
View attachment 2226071



Unalilia nini tena?
Unakaaa wapi mtu mwenye kitu chake special nitalala hata koridoni tu 😎😎😎 nikulindie njeOmba hifadhi mapema aisee
😁😁😁😁😁 ewaaaa sawa hapo ilo nenoKama hajatokea, hizo zawadi zilete tu kwangu mdogo angu![]()
Nipo pembeni yako hapo big,nauza samaki.Nimelia lia lia JF pisi moja imenihurumia, kaniambia niende mbezi mwisho, nimsubiri kituoni sijui napiga simu yake inaniambia yupo busy karibia masaa mawili au yupo bus kuja kunichukua, nime mmbebea na zawadiMadam shangazi mahondaw mamaaaa pastaaaa jiraniii Heaven Sent Saint Anne View attachment 2226069
View attachment 2226071
Sikuoni mbona asaaa 😬😬😬Nipo pembeni yako hapo big,nauza samaki.
Kaka Handsome kumbe upo hapa na husemi..
Hujaniona?Sikuoni mbona asaaa![]()
... Shukrani Nawe pia ulale unono mkuu!Kesho mkuu.
Usiku mwema
😂😂😂🤣Chama cha wasoma comment!!😳😳
Chama cha wasoma comment!!😳😳
Panda basi za Mbagala shuka mwisho wa kituo utanikuta nakusubiri mwaya.Unakaaa wapi mtu mwenye kitu chake special nitalala hata koridoni tu 😎😎😎 nikulindie nje
Mwenyekiti bado Nina wenge, ngoja nivute kitu kwanza Nipigwe na upepo, kwanza ndugu wajumbe wametimia!!Katibu ebu tushtue kidogo utuweke kwenye reli kwanza!!
KitiMwenyekiti bado Nina wenge, ngoja nivute kitu kwanza Nipigwe na upepo, kwanza ndugu wajumbe wametimia!!
mbagala tena, palipo na panya road .. asante kwakweli 🥲🥲🥲🥲Panda basi za Mbagala shuka mwisho wa kituo utanikuta nakusubiri mwaya.
Huwez pata shida nami nipo mtu wangu