Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,466
- 203,083
bila shaka atakuwa ameona hii commentOngeza vizuri na Heaven Sent
Heaven Sent naomba tuongee vizuri jamani
bila shaka atakuwa ameona hii commentOngeza vizuri na Heaven Sent
Hadi siku ukifungua PM


Mmmh hapana..Ndio nashangaa
Ni uchi
Ghafla tu
Weuweeeeee 🔥 🔥
Umependeza sana mama mchungaji 🤍
Akija mama makapu utamsimulia🤣🤣Weuweeeeee 🔥 🔥
Credo to fundiii
Amekipatia.. kimekukaa vyedii
Na hiyo kijani hapo 😍😍🔥
Ahsante sana dearUmependeza sana mama mchungaji 🤍
Kwa kweliAkija mama makapu utamsimulia🤣🤣
Ndio ndiooo!!! Asante sana... Umependezajee mama mchungaji!😘
Ahsante bosilediNdio ndiooo!!! Asante sana... Umependezajee mama mchungaji!😘
Mmh
Since '12 huko
Umewawakilisha vema wanyaki nkamu❤❤👌
You look lovely in that dress

Aiseeee..Hakuna kazi ngumu wakati wa kula kama kula kichwa cha samaki 😒View attachment 2226044
Kichwa kama kichwa 🤔🤔🤔🤔🤔🤔!!Aiseeee..
Hujui utamu wa samaki kichwa
Kwenye kufanyaje sasa?🤣🤣🤣Umewawakilisha vema wanyaki nkamu❤❤👌