😅😅😅😅 hapa na na mfuatano wa mikopo, M-Pawa nadaiwa, Songesha nadaiwa, Nipige Tough nasaiwa, NMB chap chap nadaiwaaa ... unafikiri kuna anae elewa hapo , nipo chini ya viwango 😅😅😅Umetisha chief
Wewe ni balaaa
Na hii pia inaweza ikawa ni gear ya ku impress
Maana kama unaweza kuwakopa Mpesa kiasi hicho wanaamini unaweza kuwalipa kwa hiyo huu ni mtaji kaza buti pm zifunguke🤣🤣🤣🤣
Chuzi limekolea nazi 😋😋Nikishashiba nitafute kijiwe nianze kuiponda serikali.
View attachment 2225836
Dogo kwa hiyo unatutisha tusiendelee kutuma vocha???Soul’s soap View attachment 2225840
Mambo kama hayo unafikiri uta qualify 😅😅😅Dogo kwa hiyo unatutisha tusiendelee kutuma vocha???
Ebu fungua pm huko 🏃🏃🏃🏃
Mama mchungaji inabidi uweke na maombi hapa vijana wafungue pm roho chafu iliyong'ang'ania hayo makufuri iyaachie yafungukeeNyie mabinti msiwafanyie hivi vijana wangu. Kumbe wanawachekea tu humu, PM wanawachunia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The answer to everything [emoji1787][emoji1787]Soul’s soap View attachment 2225840
Mama mchangaji Heaven Sent mwenyewe hata ukitaka ushauri wa kiroho, unakuta na mzinga wa lock unabakiMama mchungaji inabidi uweke na maombi hapa vijana wafungue pm roho chafu iliyong'ang'ania hayo makufuri iyaachie yafungukee
Baadaye wanakuja mama Mchungaji tuombee tupate waume; kumbe waume waliwapotezea selfika. Nitakuwa siwapi huduma aisee🤣🤣🤣🤣Mama mchungaji inabidi uweke na maombi hapa vijana wafungue pm roho chafu iliyong'ang'ania hayo makufuri iyaachie yafungukee
😅😅😅 endeleeni kutuma bana.Dogo kwa hiyo unatutisha tusiendelee kutuma vocha???
Ebu fungua pm huko 🏃🏃🏃🏃
Mama mchangaji Heaven Sent mwenyewe hata ukitaka ushauri wa kiroho, unakuta na mzinga wa lock unabaki View attachment 2225849
Ipi hiyo tena?Heaven sent irudiwe irudiwe [emoji125][emoji125]
Haaa humu ni pazitoo sijui niwe kama nani vile nianze na mie kuonekana mtu 😅😅😅😅Daaah 🤣🤣🤣
Muumini ukikuta nimefunga huko,ujue nimetingwa sana na huduma huku, sina muda wa kutosha kukuhudumia. Sasa mtu asije akatuma PM yake afu ikajibiwa after months, haitokuwa poa na wakati ukute anahitaji ushauri urgently juu ya mapito yake.🤣🤣🤣
Haki vile 🤣🤣😂The answer to everything [emoji1787][emoji1787]
Hamia intelligence forum afu usiwe na maneno mengi🤣🤣🤣Haaa humu ni pazitoo sijui niwe kama nani vile nianze na mie kuonekana mtu 😅😅😅😅
Uwe kama Mjep tuHaaa humu ni pazitoo sijui niwe kama nani vile nianze na mie kuonekana mtu 😅😅😅😅
Kumbeeeee....Hamia intelligence forum afu usiwe na maneno mengi🤣🤣🤣
Bora wewe unapata thawabu zakoUwe kama Mjep tu
Shusha vocha shusha vocha mkuu
Kuna wenye uhitaji humu hata usipofunguliwa pm utapata malipo yako kwa Mungu
Sasa na kichwa cja intelligence mie, kichwa kimejaaa utopolo tu .. nitakuoa tu ban cha chapHamia intelligence forum afu usiwe na maneno mengi🤣🤣🤣