_King baadae asee
Sante sana nakupata
Mjep wizara ya mawasiliano, vocha na bando, nimekuita kikao cha dharura tujadili, sasa hivi tutoe vocha moja tena ya 500, serikali haina pesa, wewe tunakuamini na tumekupa hio nafasi tukijua hutotuangusha na kwa kweli unapiga kazi kweri kweri.
sasa hilo ni pendekezo, nasubiri mawazo toka kwa wenzangu, ahsante sana, kwako
_King