Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Siachi kula mayonnaise
mayonnaise na chips ni 🔥🔥🔥 ila isije kuwa tunakosa kwasababu wanadhani tupo dar pure
Nyie Wa mujini huko...hiki ni kitu gani kwani??? Naonaga tu mkipost humu !!?Ni uji maziwa au mtindi???!!! 🤔🤔ila au basi.. asie kubali kukosa hatopata View attachment 2225732
hahahaha,mjeda mmoja hvJameson Ndio nani huyo mjeda?? 🤔🤔🤔😜🤣
Mwenye kitu cha pekee 📌 tubariki washereheshaji leo sundayWoiiii😂
👎
acha tu hiki ni ki Esspresso madam shangazi 😁😁 tutamu kama sukari guruNyie Wa mujini huko...hiki ni kitu gani kwani??? Naonaga tu mkipost humu !!?Ni uji maziwa au mtindi???!!! 🤔🤔
😜
Sa itakuwaje?Woiiii😂
🤔🤔🤔🤔🤔 Naona unapenda sana kuinywa!!acha tu hiki ni ki Esspresso madam shangazi 😁😁 tutamu kama sukari guru
🤔🤔🤔🤔🤔 Naona unapenda sana kuinywa!!
Hakuna chakula cha mwanamke wala mwanaume, sasa kama mtu anakula chips, burger na mayonnaise unamwita mwanaume wa Dar, mayonnaise imetengenezewa mayai, vinegar, chumvi n.k, sasa kama mayonnaise ni ya wanawake usile mayai, kwa maana yai ndilo limetengeneza hio mayonnaise, usitumie na lemon, sasa ukichunguza recipe za mayonnaise ndizo hizo hao wanaume wa mikoani wanatumia kwenye vyakula kila siku.mayonnaise na chips ni 🔥🔥🔥 ila isije kuwa tunakosa kwasababu wanadhani tupo dar pure
Ndiiioooooo!! Sante sana
Improves Your Mood
Reduces Chance of Diabetes
Improves Digestion
Aids in Weight Loss
Lowers Risk of Stroke
Low in Calories
Boosts Physical Activity
High in Antioxidants
Improves Concentration
Strengthens Long-Term Memory
Hakuna chakula cha mwanamke wala mwanaume, sasa kama mtu anakula chips, burger na mayonnaise unamwita mwanaume wa Dar, mayonnaise imetengenezewa mayai, vinegar, chumvi n.k, sasa kama mayonnaise ni ya wanawake usile mayai, kwa maana yai ndilo limetengeneza hio mayonnaise, usitumie na lemon, sasa ukichunguza recipe za mayonnaise ndizo hizo hao wanaume wa mikoani wanatumia kwenye vyakula kila siku.
Sasa na wao ni wanaume wa Dar wenzetu, na mayonnaise sitoacha kula.

😅😅😅 mayonnaise tunaanzaje kuacha kula na wakati nzuri sanaaa , huwa wasipo wake ya kutosha huwa nalipia hata waongeze nzuri sana.. watu watakuwa na magomvi binafsi na wanaume wa dar au wana waonea wivuHakuna chakula cha mwanamke wala mwanaume, sasa kama mtu anakula chips, burger na mayonnaise unamwita mwanaume wa Dar, mayonnaise imetengenezewa mayai, vinegar, chumvi n.k, sasa kama mayonnaise ni ya wanawake usile mayai, kwa maana yai ndilo limetengeneza hio mayonnaise, usitumie na lemon, sasa ukichunguza recipe za mayonnaise ndizo hizo hao wanaume wa mikoani wanatumia kwenye vyakula kila siku.
Sasa na wao ni wanaume wa Dar wenzetu, na mayonnaise sitoacha kula.
Hakuna chakula cha mwanamke wala mwanaume, sasa kama mtu anakula chips, burger na mayonnaise unamwita mwanaume wa Dar, mayonnaise imetengenezewa mayai, vinegar, chumvi n.k, sasa kama mayonnaise ni ya wanawake usile mayai, kwa maana yai ndilo limetengeneza hio mayonnaise, usitumie na lemon, sasa ukichunguza recipe za mayonnaise ndizo hizo hao wanaume wa mikoani wanatumia kwenye vyakula kila siku.
Sasa na wao ni wanaume wa Dar wenzetu, na mayonnaise sitoacha kula.
Hako kakikombe kamenikumbusha ile siku.ila au basi.. asie kubali kukosa hatopata View attachment 2225732