Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
inauma sanaaa, unaishia kusikia sifaa tu .. basi unabakiNaku zoom tu mjomba
Naona ushachoka kukuta manyoya![]()
😅😅😅 inabidi muingie mtaani kuwasaidia tuuMimi mzima nashukuru Mungu mjomba
Sikuhizi wanarudi nyumbani saa 10 jioni kisa panya road![]()
😅😅😅 Kuwakilisha dunia na mbingu muhimuu mtasikia tu habari 😅😅😅Ukamalize hukohuko nakutuwakilisha vema Selfika baba pasta Selfika zisifike lawama pullliiiizzzzz huku ni amane na furaha tu no manung'uniko !!😉😜
😅😅😅 shangazi nitahamia kwako kibarua kikiota nyasi, maana kuna watu hapa nimeshtuka watu wengi sana wanachungulia kimyaa kimyaaa, unaweza kuta nimeisha kwaluza na boss alafu akiniona ndio mie kesho naanza kula majaniSiku nyingine si mnaziwahi lakini !!!!!! Afu na pilot Mnaniangusha Shangazi enu bana mnakwama wapi hadi kufikia hatua ya kulia live banaaa🤣🤣🤣😂😉😜!!!
😅😅😅 mambo ya kuja kutangazwaaa humu acha tuyaepukeee unaweza kimbia jukwaa hadi ukavunjika miguuu ukisikia tu jf unabaki.. muelekeza tu Post M-alone mbinu nae apate chochote mie simo nimekubali kushindwaaa🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂!! mtu kama Pilot na baba pasta.... wanakwama wapi lakini!!! Mie siamini waongo hao!!
Mazoezi yanaenda vema shangazi!Kama umepungua hivi madam![]()
Jiraniii 🙄🙄🙄🙄 nini wasemaWanachangamsha genge hao
Midomo isiyo na hila 🔥🔥🔥🔥
wasio selfika ndio wababe, sie wengine kama makonda tu mkuu ... kama machawa tu ila wanao kalia viti ni nyie ma sniper 😅😅😅hahahaha.totoz za p
hahahaha,hakuna lolote,totoz wa selfika mpk uselfika ndo wanakuelewa
Wewe Utakua ni mkorofi fulani mjomba!! !!! 🤣🤣😜😅😅😅 mambo ya kuja kutangazwaaa humu acha tuyaepukeee unaweza kimbia jukwaa hadi ukavunjika miguuu ukisikia tu jf unabaki.. muelekeza tu Post M-alone mbinu nae apate chochote mie simo nimekubali kushindwaaa
View attachment 2225595
mie huyu ...Wewe Utakua ni mkorofi fulani mjomba!! !!! 🤣🤣😜
Sawa shangazi....!!madam baadae kidogo

Asante baba pasta!!Midomo isiyo na hila![]()
Ndio uache ukorofi !!mie huyu ... View attachment 2225606
shangazi nitahamia kwako kibarua kikiota nyasi, maana kuna watu hapa nimeshtuka watu wengi sana wanachungulia kimyaa kimyaaa, unaweza kuta nimeisha kwaluza na boss alafu akiniona ndio mie kesho naanza kula majani











!!!