Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Nakuja asee kikubwa nilitaka tu mualikoKaribu,tukupe na shamba ulime,
Muda sahihi kabisa,muda wa mavuno.View attachment 2225375
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja asee kikubwa nilitaka tu mualikoKaribu,tukupe na shamba ulime,
Muda sahihi kabisa,muda wa mavuno.View attachment 2225375
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba nyie ndio mnafaudu totoz za Selfika mjeda!!!Aliyeko mbezi beach .aje hp shabaha/target .tuyajenge huku.tukijaribu berreta zetu
Nakuja asee kikubwa nilitaka tu mualiko
Ninavyoogopa maji sasa,, naonaga kama mtu yupo kwenye maji ananiita/ananivuta,,Mungu tu ananisaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu,tukupe na shamba ulime,
Muda sahihi kabisa,muda wa mavuno.View attachment 2225375
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijapui huko kwingineOky pana ufanano kwa kiasi chake
Zanzibar mkuuHapa ni Wapi mkuu
Kila mtu kwenye maisha Kuna kitu anakiogopa bila sababu, ni kawaida.
Mfano Heaven Sent Kuna vitu anaviogopa ila atakuja hapa mwenyewe aseme.
Binafsi naogopa kinyonga kuliko maelezo, ntakua nyoka na Kila aina ya kiumbe lakini kinyonga nikimuona tu, nasismka sitaki hata kumwangalia.
Kimsingi sitaki iwe karibu sana na maji ila niwe naweza kuyaina maji nikiwa ndani ya kanyumba kenye madirisha makubwaaaa ya viooo.

jamani,kinyongaNiko karibu na kwakoItabidi tuongee vizuri
Nashukuru ujumbe wako umefika. 😁😁😁Kila mtu kwenye maisha Kuna kitu anakiogopa bila sababu, ni kawaida.
Mfano Heaven Sent Kuna vitu anaviogopa ila atakuja hapa mwenyewe aseme.
Binafsi naogopa kinyonga kuliko maelezo, ntakua nyoka na Kila aina ya kiumbe lakini kinyonga nikimuona tu, nasismka sitaki hata kumwangalia.
Kimsingi sitaki iwe karibu sana na maji ila niwe naweza kuyaina maji nikiwa ndani ya kanyumba kenye madirisha makubwaaaa ya viooo.
Awape mbwinu wenzake. Shikamoo vijanaKwamba nyie ndio mnafaudu totoz za Selfika mjeda!!!
Mpo vizureeeee 🤣😜
Makapu yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatari sana
41 ni fundi msaidizi..
Asante madam
Niliconcentrate kwenye nyama ilivyojaa. Yeah una mguu mrefu pia sema wa bia🥰Si uliona siku ile mguu mrefu
Ahsante!