Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Imeanza kukolea sio!! selfika hata hio Kilimanjaro mjeda kha!!🙌🙌🙌🙌
Kilimanjaro lager huwaleta marafiki pamoja
Kilimanjaro lager huwaleta marafiki pamoja
😅😅😅 mashangazi mna hela hamna ubahiri kuliko size zetuuhahahaaaa... shangazi watakuzeesha tu Mabinti Ndio wanakufaa wewedamu bado inachemka! Mashangazi washakula sana sana ujana saivi hawatamaniki na hekaheka zenu hawaziwezi!
Yaani ni balaaYani huyu ameshindikana kwakweli anaona hata akipiga kinywaji tunafaudu!! Hata majani basi au anga kama mama mchungaji huo ubahili sio wa nchi hii!
Nilipatie wap shost?Shost ili goma unalipata? Lenie
Waaaa ile sound sio poa 🔥
Wake up
Collect ur money
Don’t sleep
Lemme see you 🔥
Go lo lo 🤣
Buga lo lo loo View attachment 2225511
hahahaha.ngoja ndo kwanza 6.bd km 14 hv.ndo naeza kukoseaImeanza kukolea sio!! selfika hata hio Kilimanjaro mjeda kha!!🙌🙌🙌🙌
mjeda 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌,!!hahahaha.ngoja ndo kwanza 6.bd km 14 hv.ndo naeza kukosea
Kuna kengine kanaitwa ‘mtoto wa mtu.. nilikuwa nasikiliza radio nikakutana nako, ni moto 😂😂Nilipatie wap shost?
Kaimba nani, maneno yake yanachekesha mbona😃
leo msikae mbaliKweli aisee
Do the needful mtu chake
Asante Ila aliemenya ilo chungwa ashtakiwe

kuwa mvumilivumjeda 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌,!!
Hahahaa nataka huo 'mtoto wa mtu' ni singeli?Kuna kengine kanaitwa ‘mtoto wa mtu.. nilikuwa nasikiliza radio nikakutana nako, ni moto 😂😂
Basi hapa nafanya tu repeating tu.
Huo Nenda YouTube, kiss Daniel na Tekno ‘unaitwa Buga.. ni ka vibe amazing, haswa hiyo kiitikio.
Ungetupia mida hii rafikileo msikae mbali
Sitakiiiii!!! Unazingua mnoo mjeda hata kupiga mapazia ukaselfika basi ??kha!!😠😜kuwa mvumilivu
Huyo Labda awe amerogwa !!Ungetupia mida hii rafiki
HahaHuyo Labda awe amerogwa !!
huu muda wa kujumuika ndugu.jamaa na marafiki.na kili timeUngetupia mida hii rafiki
Haya Enjoyhuu muda wa kujumuika ndugu.jamaa na marafiki.na kili time