Selfika na JF: Snap it. Show it

mayonnaise huwa tamu bwanaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hasa ukute chips zimekaukaaa vizurii unaweza maliza tu plate plate
 
Mimi na Wigelekelo tulikuwa tunazishambulia eti ni chakula cha wanaume wa Dar. Kelsea ndo akawa anazitetea....

Ila zinanoga hata kwenye hambaga bana [emoji16][emoji16]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wanaume wa dar wana mitihani mingi ila hili la mayonnaise mlikuwa mna waonea na ule tamu wake kweli

ni kweli na kwenye hambaga, tena umechukua chupa mbili kwa msisitizo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuja kula rafiki umebeba vitu vinono.

Sakata letu tutamalizana wenyewe Wige mkorofi atanisumbua.
 
Tunasifia kumbe kuna wajumbe wanamalizia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway sisi wazee kazi yetu ni kusifia, manake hatuna tuwezacho saivi [emoji1787]

Happy Sunday watu wa Mungu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…