Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa hiyo huyo apo ndio wewe
una makusudi sana. Nimekuja mbio eti nakutana na hicho kitu hapo, kesi yangu na wewe haitakaa ikaisha wee haya.
Nilikwambia mpaka Yesu arudi ndo bifu letu litaisha. Labda uniombe msamaha huku ukiwa umepiga magoti kama mabinti wa Kisukuma na Wigelekelo akiwa shahidi...

Halafu naomba nikiri aisee. Jana nilinunua Mayoneizi!
. Sasa wakati naweka kwenye gari ndo nikakukumbuka wewe na Wige. Nikaishia tu kujisemea sijui nitaambia nini watu ila ndo hivyo


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…