Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 13,106
- 30,403
Wala hatufanani labda miili kidogo, ni mwembamba kama mimi.Anafanana na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hatufanani labda miili kidogo, ni mwembamba kama mimi.Anafanana na wewe
Wewe uliweka saa ngapindo maana hukuona
Wala hata hakuweka. Angeweka tungeona hata kama alifuta. Mchoyo huyu.Wewe uliweka saa ngapi
Hawezi kuweka picha hapaWala hata hakuweka. Angeweka tungeona hata kama alifuta. Mchoyo huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah kweli kabisa hii
Tupia na after basi.Asubuhi njemaView attachment 2223989
nyieTukae chonjo ndugu zangu mabonge wenzanguView attachment 2224085
Hahahaaaa.... na ulipitwa navitu vinonoo hatareeee...Watu walijilipua liveeeeee!!!
Eri walidhani ni kiboko
Habari za muda huu rafikiNipo hapa 🙇🙇
Njema sana rafiki naona wala weekend Kimya Kimya hata mualiko!!???Habari za muda huu rafiki
Nimekutumia mwaliko fungua usomeNjema sana rafiki naona wala weekend Kimya Kimya hata mualiko!!???
Wee usiniambieHahahaaaa.... na ulipitwa navitu vinonoo hatareeee...Watu walijilipua liveeeeee!!!
😂😂😂Mzee Baba umekidhi vigezo vyote vya wadada wa hapa jf
Tall,dark handsome na kikubwa zaidi umepiga shati jeupe na umechomekea
Kuna Uzi humu ulipostiwa juzi wadada wakipenda staili yako ya uvaaji
ngoja waje....
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kabisa mamy watu walijilipua sio mchezo!!