Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 15,001
- 35,474
Sijui hata, kuna mwanamuziki nampenda anaitwa Kelsea Ballerini ndio nikaiba jina lake.[emoji1][emoji1][emoji1]Itarudiwa kelsea, hivi maana ya jina kelsea ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app